JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI

Similar documents
CROP PROTECTION PROGRAMME. Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems

HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA

PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS. Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way pit PROJECT AREA TANZANIA MAINLAND

KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;

THE SPINE CLINIC. Spine Care. Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo. principles of neck and back care IOM SYSTEM ENDOSCOPE

Lesson 60: Quantifiers OTE and O OTE

Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level

DEFERRED LIST ON 23/10/2018

EXL6 Swahili PhraseBook Davis

Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka

unajua ulichofanya; umevumilia Vema ninataka umwambia Shetani katika jina la Yesu anapokufanyia jambo baya, Toka! Toka!

Ikimbieni Zinaa. Ellis P. Forsman. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME

Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana?

UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI

SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET

UCHAMBUZI MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977

Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Oktoba, 2010 hadi Septemba, 2012) kuhusu Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz

2017 Student Program Curriculum

TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

KUFANIKISHA MAGEUZI YA SHERIA ZA KUMILIKI ARDHI NCHINI KENYA TOLEO MAARUFU LA MSWADA WA KUMILIKI ARDHI YA JAMII

Analysis!of!Rainforest!Alliance!Report!on!the!Verification!of!Progress!Related!to!Enabling!Activities! for!the!guyana"norway!redd+!agreement!!!

QUARTERLY REPORT July - September Quarter SERIES NO. SDT:

ABB NASOM Fun Run 2017

Appendix: Tables. Table XI. Table I. Table II. Table XII. Table III. Table IV

P O Box NAKURU

International Criminal Law Moot Court Competition, Organised by. Amity Law School, Centre-II Amity University Uttar Pradesh India

Inter-Club Council Constitution Student Life Office, Mt. San Antonio College

VENTURA COUNTY AIR POLLUTION CONTROL BOARD

2016 YMCA YOUTH BASKETBALL RULES

CBSE West Zone Skating Championship 2014 (16-18 October 2014) General Rules for the conduct of SKATING CHAMPIONSHIP 2014

2018/2019 Missouri Presidents Cup Rules

BELLEVUE HIGH SCHOOL CHEERLEADING CONTRACT

TO: ALL PRINCIPALS AND ATHLETIC DIRECTORS FROM: BRIAN THOMPSON, SOFTBALL CHAIRPERSON, STATISTICIAN SUBJECT: DISTRICT V SOFTBALL INFORMATION

2.2 Sports School Program (SSP) to be defined as a school-based hockey program; the following minimum criteria shall be met:

TRADE SHOW AND CONVENTION INSTALLER AGREEMENT

Intramural Volleyball

U.S. YOUTH SOCCER 4V4 OFFICIAL LAWS WITH CSYSA MODIFICATIONS UNDER 7/8

Operating Engineers Agreement

EAST ISLIP SOCCER CLUB 35th ANNUAL FALL CLASSIC TOURNAMENT October 7th and 8th, 2017

Remarks You Must Read & Know Before Buying Guingamp vs RC Strasbourg Tickets: Event date and time are subject to change - these changes are not

NOVENA YA ROHO MTAKATIFU

Adult Sand Volleyball Rules

SEACOAST UNITED INDOOR SOCCER ARENA RULES AND REGULATIONS

HORSHAM SOCCER, INC. RULES AND REGULATIONS. A. The Organization s name shall be the Horsham Soccer, Inc., herein referred to as Organization.

EDMONTON MINOR SOCCER ASSOCIATION

MILESTONE MINOR HOCKEY ASSOCIATION

2015 Fact Sheet Match Day Requirements

WINDSOR PARKS AND RECREATION SOCCER PROGRAM Modified NFHS Soccer Rules YOUTH RECREATIONAL LEAGUE U8

UIL DISTRICT 27-5A Alamo Heights - Brackenridge Burbank Edison Fox Tech Highlands Houston - Jefferson Lanier

Method statement for. The installation of. Precast Concrete Piles. (Site Name).

CITY OF SOUTHAVEN INDOOR SOCCER RULES

2017 DISCOVERY CUP OFFICIAL RULES

Texas Cup Tournament and Showcase Rules November 23, 2018 to November 25, 2018

How to Form a New Sport Club Any club seeking Sport Club status should follow the following guidelines:

B.A.S.S. & B.A.S.S. Nation Angler Incentives/Rewards/Sponsors

Contents ... TEACHER GUIDE NCTM Content Standards Assessment Rubric... 6 How Is Our Resource Organized? The NCTM Principles & Standards...

The Sports Betting Champ s Never Lost NFL Super Bowl Betting System

Jumpers - Saturday Sept. 23rd Hunters - Sunday Sept. 24th

i) Filtration machine, measuring equipment and other related machinery

Policy on USTA South Carolina Junior Tournament Sanction and Scheduling

Rules of Play March 2, 2018

PROGRESS IN PHOTOTHERMAL AND PHOTOACOUSTIC SCIENCE AN D TECHNOLOGY

RENFRO HUNTING CLUB, INC. Lufkin, Angelina County, Texas RULES AND REGULATIONS. Each member is limited to two (2) permanent (reserved) stands.

Upper body as upright as possible with knees slightly bent, much like the position used in fencing.

Tejeda Middle School Athletic Policy

MODIFIED RULES FOR U4, U6, & U8 MICRO-SOCCER

PLAYBOOK FLAG FOOTBALL

A AA AAA AAAA Berlin Conemaugh Township Bedford Somerset Fannett Metal Everett Chestnut Ridge

LAW I: THE FIELD OF PLAY - Dimensions: Length of the field is 165 feet. Width of the field is 75 feet.

The Regulations of the International Young Physicists Tournament

BROOKLIN HIGH SCHOOL BEARS ATHLETICS VISITOR GUIDE

MATERIAL HANDLING - FIELD RIGGING SAFETY PROGRAM

Rules & Regulations on Membership Approved (January 28, 2017) a. Regular Members shall meet all requirements in the ASA By-Laws and the following;

XXIII. Slovenian International Amateur Senior Men's Championship 2017

Rhythmic Gymnastics Tournament. Carramba Cup , Katowice, Poland

UWI SPEC INTERNATIONAL HALF MARATHON 2016 PRESENTED BY. First Citizens

Howland LL

Girls Travel Volleyball

Adult Soccer Fest Rules & Regulations

European Seniors Basketball Association (ESBA) REGULATIONS for Championship Pula 2018 (edited on March 14, 2018)

Tournamation. Fishing Tournament Automation Software. User Guide. Tournamation User Guide

RENFRO HUNTING CLUB, INC. Lufkin, Angelina County, Texas RULES AND REGULATIONS. Each member is limited to two (2) permanent (reserved) stands.

Houston Club Sports Conference Rules & Regulations for Volleyball

CHICAGO DISTRICT YMCA SWIMMING 2018

CASH PRIZE SCHEME PREAMBLE

XXIV. Slovenian International Amateur Senior Men's Championship 2018

Your grade may then be calculated by the following formula (Daily Points + Test Scores) / (# of days * 4 + # of tests * 100)

Texas Charter School Academic & Athletic League. Science Olympiad

Southington Lightning Girls Softball Program. Guidelines

Sample Sailing Instructions for Sanctitoned Lightning Class Championship Regattas

Briefing: The free bus pass

MATERIAL SAFETY DATA SHEET 10/22/2012

4-H Dairy/Dairy Goat Care and Feed Record Book

OFFICIAL RULES AND REGULATIONS 2017

The Co-operative s objective is to encourage, promote and improve the breeding of Blonde d Aquitaine cattle in Ireland.

Transcription:

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI Namba za simu;shule ya Sekondari MIONO Mkuu wa Shule: +255 784 369 381S.L.P 26 - CHALINZE Makamu Mkuu wa Shule: +255 787 448 383Tarehe 25.5.2017 Matron / Patron Mzazi /Mlezi wa Mwanafunzi... S.L.P. YAH: MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI MIONO HALMASHAURI YA CHALINZE MKOA Pwani MWAKA 2017/2018 1. Nafurahi kukuarifu kuwa mwanao amechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule hii mwaka... tahasusi ya. Shule ya Sekondari MIONO ipo katika kijiji cha Makao Makuu, Kata ya MIONO, Tarafa ya Miono.kijiji hiki kipo karibu na eneo la MTO WAMI katika barabara kuu ya CHALINZE-SEGERA, ukitokea Chalinze shuka MANDERA(baaada ya kuvuka daraja la MTO WAMI) ambapo ni njia panda ya kuelekea MIONO, utakwenda mwendo wa kilometa 20 kutokea MANDERA hadi kufika shuleni.aidha ukitokea SEGERA shuka kituo cha MANDERA kabla ya WAMI.Kwa wanaotokea Dar es salaam nenda kituo cha mabasi cha Mbezi, panda mabasi ya DAR-MIONO au DAR- SAADANI ambayo yanafika MIONO. Nauli ni shilingi elfu saba (7000/=) kutokea Mbezi, na shilingi elfu nne kutokea Chalinze.nauli ya boda boda kutoka MIONO hadi shuleni ni shs.2,500/=ukipanda gari inayoelekea Saadani utashushwa shuleni.usishuke Miono. Muhula wa masomo unaaza tarehe 3.7.2017Hivyo mwanafunzi anatakiwa kuripoti shuleni tarehe 17.7.2o17 Mwisho wa kuripoti ni tarehe 30.7.2017 akiwa na fomu zote zilizoambatanishwa katika maelekezo ya kujiunga, ziwe zimejazwa kikamilifu na wahusika na kuzikabidhi shuleni wakati wa usajili. 1

2.0 Sare ya Shule 2.1. WAVULANA: I. Suruali 2 za heshima rangi ya dark blue zenye marinda mawili II. Shati 2 za heshima rangi nyeupe mikono mirefu, III. Viatu vya ngozi rangi nyeusi SIO BUTI vya kamba na visiwe na kisigino kirefu. IV. Nguo za kufanyia kazi (shamba dress), Suruali mbili rangi ya light blue na fulana (T-shirt) mbili rangi ya deep blue, zisiwe na collar wala maandishi. V. Soksi jozi mbili rangi nyeusi, VI. Mkanda mweusi wa kawaida usio na urembo. VII. Tai rangi ya dark blue.inayofanana na rangi ya suruali VIII. T-shirt ya rangi ya kijivu (grey) yenye nembo ya shule inapatikana hapa shuleni. IX. Shuka mbili rangi ya bluu bahari (light blue) na mto wenye foronya ya bluu bahari (light blue) X. Sweta yenye rangi ya dark blue Xi.Track suit rangi ya kijivu, raba na nguo za michezo (zingatia: nguo za michezo zimepangwa kwa tahasusi kama ifuatavyo, PCM rangi Nyekundu kama ya jezi ya simba, PCB rangi ya njano kama jezi ya yanga, CBG zambarau kama jezi ya Mbeya city.) 2.2 WASICHANA: I. Sketi 2 za heshima rangi ya dark blue ndefu kuvuka magoti zenye marinda (rinda box mbele na nyuma na marinda mawili upande wa kulia na kushoto). Kitambaa kiwe kizito II. Sketi moja ya heshima rangi ya bluu bahari (light blue) kwaajili ya kuvaa siku ya kwenda Msikitini au Kanisani. III. Blauzi 2 za heshima rangi nyeupe, mikono mirefu, IV. Viatu vya ngozi rangi nyeusi SIO BUTI vyenye kamba na visiwe na kisigino kirefu, V. Soksi rangi nyeupe VI. Tai ya rangi ya dark blue.inayofanana na rangi ya sketi VII. Kanga/kitenge doti 2 2

VIII. T-shirt ya rangi ya kijivu (grey) yenye nembo ya shule inapatikana hapa shuleni. VIII. Magauni mawili ya heshima ya kushindia rangi ya pinki (1) na light blue (1) yawe ya marinda ya pasi (shamba dress) kitambaa kizito. T-shirt mbili rangi ya deep blue, zisiwe na collar wala maandishi IX. Shuka mbili rangi ya pink na mto wenye foronya ya pink. X. Sweta rangi ya dark blue. Xi. Track suit rangi ya kijivu, raba na nguo za michezo (zingatia: nguo za michezo zimepangwa kwa tahasusi kama ifuatavyo, PCM rangi Nyekundu kama ya jezi ya simba, PCB rangi ya njano kama jezi ya yanga, CBG zambarau kama jezi ya Mbeya city.) 3. Ada na Michango ya shule a) Ada ya shule kwa mwaka ni shilingi 70,000.00 kwa mwanafunzi wa bweni. Unaweza kulipa kiasi cha shilingi 35,000.00 kwa muhula au kulipa ada yote kwa mara moja b) Michango inayotakiwa kulipwa na kila mzazi ni:- i. Shilingi 5,000/= kwaajli ya ukarabati wa samani. ii. Shilingi 6,000/= kwa ajili ya kitambulisho na picha iii. Shilingi 20,000/= kwa ajili ya taaluma iv. Shilingi 30,000/= kwa ajili ya kuwalipa wapishi, walinzi, na vibarua wengine v. Shilingi 2,000/= nembo ya shule vi. Shilingi 10,000/= kwa ajili ya huduma ya kwanza Tshs 5,000/= na Bima ya Afya 5,000/= ( Wanafunzi washauriwe kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya CHF kikaya) vii. Tshirt yenye nembo ya shule shilingi 10,000/= viii. Umeme 15,000/= ix. Maji 15,000/= x. Fedha ya tahadhari 5000/= ( haitarejeshwa) Angalizo: Jumla ya ada na michango kwa mwaka ni shilingi 188,000.00 Fedha hizo zilipiwe kwenye Akaunti ya shule Namba 21110001592 MIONO SECONDARY SCHOOL FUND katika Benki ya NMB (tafadhali andika jina la Mwanafunzi kwenye pay in slip) Mahitaji muhimu ambayo mwanafunzi anapaswa kuleta shuleni ni:- (i) (ii) (iii) Ream ya karatasi 1 (kwa mwaka) Vitabu vya masomo ya tahasusi husika Dissecting kit kwa wanafunzi wa Biolijia (iv) (v) Scientific calculator Vyombo vya chakula ( sahani, bakuli, kijiko na kikombe) 3

(vi) Ndoo mbili ndogo zenye mifuniko picha 2 pasport size za mwanafunzi napicha nne (4) za Wazazi na ndugu wa karibu wa mwanafunzi wanaoweza kumtembelea mwanafunzi shuleni pamoja na namba zao za simu.angalizo: Mwanafunzi wa tahasusi ya PCM alete reki, wa tahasusi ya PCB alete jembe, wa tahasusi ya CBG alete fagio 2 (laini na gumu anayosoma). 4. MAKOSA YATAKAYOSABABISHA MWANAFUNZI KUFUKUZWA SHULE. (i) Wizi (ii) Kutohudhuria masomokwa zaidi ya siku 90 bila taarifa / utoro (iii) Kugoma na kuhamasisha mgomo (iv) Kutoa lugha chafu kwa wanafunzi wenzake, walimu,/ walezi na jamii kwa ujumla (v) Kupigana mwanafunzi kwa mwanafunzi, kumpiga mwalimu au na mtu yeyeote yule. (vi) Kusuka nywele kwa mtindo usikubalika. Wanafunzi wote wanatakiwa kuwa na nywele fupi wakati wote wawapo shuleni au kusuka kwa mtindo wa ususi uliokubalika na uongozi wa shule. (vii) Kufuga ndevu (viii) Ulevi au unywaji wa pombe na matumizi ya dawa ya kulevya (ix) Uvutaji wa sigara. (x) Uasherati, uhusiano wa jinsia moja, kuoa au kuolewa (xi) Kupata ujauzito au kutoa mimba (xii) Kushiliki matendo ya uhalifu, siasa na matendo yoyote yale yanayovunja sharia za nchi; (xiii) Kusababisha mimba au kumpa mimba msichana (xiv) Kutembelea majumba ya starehe na nyumba za kulala wageni (xv) Kumiliki, kukutwa au kutumia simu ya mkononi katika mazingira ya shule (xvi) Kudharau bendera ya Taifa (xvii) Kufanya jaribio lolote la kujiua, au kutishia kujiua kama kunywa sumu n.k (xviii) Uharibifu wa mali ya umma kwa makusudi. UTHIBITISHO WA KUKUBALI NAFASI YA KUINGIA KIDATO CHA TANO SHULE YA SEKONDARI MIONO SEHEMU A (ijazwe na mwanafunzi ) Mimi (jina kamili)... Nilizaliwa tarehe... mwezi... mwaka... Mahali nilipozaliwa kijiji/mtaa...wilaya... Mkoa... Dini... Nakubali nafasi niliyopewa ya kuingia kidato cha TANO shule ya sekondari MIONO. Nathibitisha kuwa nitatii na kuzifuata sheria na kanuni za shule ambazo mwanafunzi analazimika kutekeleza nakutimiza. Najua na kuamini kuwa migomo na vurugu siyo njia sahihi ya kutatua matatizo katika jamii, hivyo naahidi kutoshiriki katika migomo wala vurugu zozote bali nitakuwa mstari wa mbele kutoa taarifa kwa uongozi wa shule ili uweze kutatua au kutafutia utatuzi wa changamoto zozote zitakazo jitokeza shuleni. 4

Saini... tarehe... SEHEMU B (Ijazwe na mzazi/mlezi) Mimi (jina kamili)... Wa kijiji cha/mtaa wa...wilaya ya...mkoa wa... Kazi yangu ni... Dini... Nambari ya simu... Nafurahi kupokea nafasi aliyopata mtoto wangu, nitatekeleza na kutimiza mahitaji yote ya mtoto wangu kulingana na maagizo ya shule. Pia nitahakikisha mtoto anaenda shule kwa muda uliopangwa na nitakuwa tayari wakati wowote kusaidiana na shule kumlea mtoto huyu kinidhamu na kimaadili. Saini ya mzazi/mlezi... Jina la mtendaji wa kijiji/kata... Saini... Mwisho, Karibu sana Shule ya Sekondari MIONO ili ufaidike kwa kupata ELIMU BORA.... ALLY A. MUYANGO MKUU WA SHULE FORM B (PART A) PRESIDENTS' OFFICE LOCAL GOVERNMENT AND REGIONAL ADMINISTRATION MIONO HIGH SCHOOL P.O.BOX 26 TEL: +255 784 369 381 / +255 787 448 383CHALINZE REF.NO:MSS/F.V.SEL/2017/2018/01 TO: THE MEDICAL OFFICER,... RE: REQUEST FOR MEDICAL EXAMINATION TO: Mr. / MISS... FORM 5 2017/2018 Please examine the above named as to his/her physical and mental fitness for full time Schooling course. The Examination should include the following categories [i-iii]. Each category or sub-category of which will render the applicant ineligible in case of a Defect. Pregnancy [category IV] will also render a girl candidate ineligible to the course. (i) (a) Eye 5

(b) Hearing (c) Limbs (d) Speech (e) Venereal disease (s) (f) Leprosy (g) Epilepsy (ii). Neuroses (iii) Other serious diseases (iv) Pregnancy... ALLY A. MUYANGO HEADMASTER... Name, signature & official stamp MEDICAL OFFIER INCHARGE 6