Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

Size: px
Start display at page:

Download "Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:"

Transcription

1 Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS: Intro/Outro (female/male) Scene 1: Neighbour (43, male) Dad (40, male) June (13, female) Grandpa (77, male) Scene 2: Mohammed (27, male) Georg Schweinfurth (32, male) Pygmy Adimokoo (30, male) Interpreter (40, male) Scene 3: Grandpa (77, male) June (13, female) Scene 4: All characters in this scene with respective accent!! 1

2 Otto von Bismarck (40, male) France Representative (40, male) Britain Representative (45, male) Italy Representative (42, male) Scene 5: Grandpa (77, male) June (13, female) Intro: Hujambo na karibu tena kwenye sehemu nyingine ya hadithi kwa jina Hapo Zamani za kale... Huko Afrika, katika makala ya Noa Bongo Jenga Maisha Yako kuhusu historia ya Afrika! Leo hii jirani yao kina June amekasirika baada ya kusikia kuwa wazazi wa Philipp, Wajerumani, mwanafunzi mpya katika darasa la kina June na ambae ni rafiki yake, wanataka kununua kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba. June anataka kujua kutoka kwa babu yake mzee Peter, kwa nini jirani huyo anakuwa hivyo?. Jiunge nasi ili upate kujifunza mengi kuhusu Ukoloni Music 1, then cross fade with SFX First Scene: In the village at the end of the afternoon. SFX: People talking. In the background: chicken, goats, cows, birds, then fade under 2

3 1. Neighbour: (angry) Hiyo si haki hata kidogo! Wamehamia hapa Mbazi juzi juzi tu na sasa wanataka kila kitu! 2. Grandpa: Huh, bwana jirani, hebu tulia! Kwani unataka waende wakaishi wapi? kwako? 3. Neighbour: Oh, bwana, usiwe mjinga! SFX: People talking. In the background: chicken, goats, cows, birds, then fade under 4. June: (whispering) Babu, kwa nini jirani yetu amekasirika? Wazazi wa Philipp hawajamfanya chochote, au vipi? 5. Grandpa: (sighing) Hapana mjukuu wangu, hawajafanya chochote (whispering) Unajua, bado wapo watu ambao wanafikiri kuwa Wazungu wataichukua Afrika yote baada ya kununua kiwanja mahala Ni kweli wako wengi ambao hawataki tu kiwanja kidogo. Lakini lazima utambue tofauti. 6. June: (confused) Ha? Hata sielewi 7. Grandpa: Njoo twende nyumbani! Nitakuelezea njiani! 3

4 SFX: Footsteps from two people on gravel path. In the background: people talking, chicken, goats, cows, birds, then fade under 8. June: (curious) Endelea babu, hakuna mtu anayetusikia sasa 9. Grandpa: Kuna watu wengi ambao bado wana matatizo na wageni, hasa watu weupe wakitaka kuishi hapa, maana yake inawakumbusha enzi za ukoloni. Na moja kwa moja huwa wanauona ukoloni mambo leo 10. June: Ukoloni nini, babu? 11. Grandpa: Ukoloni mambo leo yaani ukoloni wa kisasa. Je unajua hasa ukoloni ulikuwa ni kitu gani? (June: Hmhm!, like saying No ) ulikuwa ni wakati ambao wazungu wengi walipoanza kwenda Afrika mwishoni mwa karne ya 19. Walinyakua ardhi ya Waafrika na kuigeuza kuwa yao, walianzisha makoloni na kisha madola. Kufikia mwanzoni mwa karne ya 20, Wazungu walikuwa tayari wameshanyakua asilimia 90 ya ardhi ya Afrika! 12. June: (shocked) Kwa nini walifanya hivyo? Kwani wao hawana mashamba ya kahawa kwao? 4

5 13. Grandpa: (laughing) La. Hawana zao hilo kwao. Lakini juu ya yote hayo yalikuwa ni mashindano kati ya Ufaransa na Uingereza ndiyo yaliyosababisha yote hayo. Wazungu walikuwa wameshafika Afrika muda mrefu. Lakini katika miongo ya mwisho ya karne ya 18 walianza kuwa na hamu ya kujiingiza katika maswala ya ndani ya nchi za Afrika. Wakati ule masoko ya Ulaya yalikabiliwa na mgogoro wa uchumi uliokuwa umeikumba Ulaya kwa muda mrefu. 14. June: Kwa hivyo Afrika ndio iliyolipa mdororo huo? 15. Grandpa: Naam, Afrika iliongezea nafasi katika soko la bidhaa za Ulaya. Na pia ilikuwa ni chanzo cha kupatikana bidhaa zilizowapendeza sana watu wa Ulaya: pembe, kahawa, dhahabu na maliasili zingine pamoja na madini. 16. June: (confused) Mimi bado sielewi babu. Je, walilituma jeshi kuchukua vitu vyote hivyo? 5

6 17. Grandpa: Hapana, mjukuu wangu, nchi za Ulaya ziliwapeleka wavumbuzi, wanabailojia, wanajiografia kutafiti na kuchora ramani ya sehemu za ndani ya Afrika. Na baada ya hapo ndipo wakaanza kunyakua bidhaa walizokuwa wakizitaka. (pause) Na hiyo inanikumbusha juu ya hadithi ya kufurahisha kuhusu yale yaliyompata Georg Schweinfurth, mwanabailojia Mjerumani ambaye alizunguka bara la Afrika kutoka mwaka 1868 hadi mwaka1871. Aliwasikia wasindikizaji wake mara nyingi walipozungumzia kuhusu kuwepo kwa mbilikimo huko Afrika ya Kati watu wafupi, wenye ujuzi wa kuwinda tembo. Hakusahau kamwe vioja vya mbilikimo hao, aliwafikiria mawazoni mwake mara nyingi. Mpaka siku moja yakamtokea maajabu... Flashback music Second Scene: Meeting the pygmies. SFX: Footsteps from one person on gravel path. In the background: birds, then fade under 18. Mohammed: (calling) Georg! Georg, hebu toka nje ya hema! angalia nimemleta nani aje akutane na wewe... 6

7 SFX: Someone coming out from a big tent (removing some thick cloth), footsteps approaching on gravel path. In the background: birds, then fade under 19. Schweinfurth: Habari za asubuhi, Mohammed! (pause, then surprised) Siamini! Ulichonacho mikononi mwako ni mbilikimo!!! 20. Mohammed: (proud) Ndio ni yeye! umesubiri muda mrefu kutaka kumuona mmoja, na sasa umefaulu, huyu hapa! 21. Schweinfurth: Mungu wangu! mwishowe! (enthusiastic while walking) njoo, mlete humu ndani ya hema! Ninataka kumchora! Ninataka kumpima pia! Oh, ninataka kupata taarifa za kutosha kadri itakavyowezekana! Njoo, hatutaki kupoteza muda zaidi! Nitaanza kwa kumchora! SFX: Footsteps on gravel path entering a tent (removing some cloth). Background: birds, then fade under 22. Schweinfurth: Kaa, tafadhali! 7

8 SFX: Footsteps on gravel path, someone sitting on a chair. Background: murmuring of fear, birds, then fade under 23. Schweinfurth: (murmuring while drawing) Vizuri sana ndio Oh, Mungu wangu, hata siamini kuwa yuko hapa mbele yangu!...ndio ha-ha 24. Mohammed: Sio rahisi kumtuliza! Ni mdogo lakini ana nguvu sana! (pause) Ah! SFX: Someone jumping from someone s lap onto the floor. In the background: birds, then fade under 25. Schweinfurth: Naam, naona itanibidi nijaribu mbinu nyingine... SFX: Someone standing up, footsteps going away on gravel path, someone picking a plate, footsteps approaching on gravel path. In the background: murmuring of fear, birds, then fade under 26. Schweinfurth: Ninakwambia, Mohammed, nitamchukua mmoja nikirudi! Naweza kufikiria habari zikitapakaa Ulaya yote: Mvumbuzi Mjerumani arudi kutoka Afrika akiwa ameshikana mkono kwa mkono na Mbilikimo! (dreamily) Ah! 27. Interpreter: (shy) Iwapo utaniruhusu bwana mkubwa Schweinfurth: Ndio, mkalimani wangu... 8

9 29. Interpreter: Nimesikia jina lake ni Adimokoo. Yaonyesha anatoka katika kabila la Akka. Upande mmoja wa kabila hilo uko chini ya utawala wa mfalme wa Mangbettu. (pause) Angalia, mkuki, upinde na mshale yote hii ni ya asili ya Mangbettu! 30. Schweinfurth: Hmmm alaaa. (cautious) njoo hapa, Adimokoo! Nina chakula kizuri sana cha kukupa! (talking to the others) Nafikiri urefu wake hauzidi futi moja na nusu (cautious) njoo, Adimokoo, njoo tule pamoja! SFX: Light, slow, footsteps from one person approaching on gravel path. In the background: birds, then fade under Flashback music Third Scene: At home at the end of the afternoon. SFX: Kitchen (pots, fire). In the background: chicken, goats, birds, then fade under 31. Grandpa: Georg Schweinfurth hakuwa mvumbuzi mashuhuri kati ya wavumbuzi waliyowahi kwenda huko Afrika, lakini hadithi hii inasaidia kuonyesha mambo mawili: la kwanza ni maingiliano baina ya ulaya na tamaduni za Kiafrika ambazo mpaka hapo zilikuwa bado hazijajulikana. 9

10 32. June: Lakini mjasiri maisha huyo wa Kijerumani hakuwa mbaya, ama sio babu? 33. Grandpa: Naam, Schweinfurth alikuwa mtu wa amani. Lakini kwa bahati mbaya sio wajasiri maisha wote waliotumwa kwenda Afrika walikuwa kama yeye: Henry Morton Stanley, kwa mfano historia haikumzungumzia vizuri kwa sababu ya kumsaidia Leopold wa pili wa Ubelgiji kudumisha ushawishi wake huko Kongo. Licha ya sifa yake ya uvumbuzi, inasemekana aliwatesa sana wasaidizi wake pamoja na wenyeji. 34. June: (surprised) Ndio maana jirani yetu amekasirika sana Grandpa: Na wakati ule katika karne ya 19, kiu cha wazungu kuhusu ardhi kilizidi na kuzidi. Mnamo mwaka 1881, Ufaransa iliiweka Tunisia chini ya mamlaka yake na mwaka uliofutia Uingereza iliikalia Misri. 36. June: Na wengine je? Walikata tamaa? 37. Grandpa: Ha! Tunaomba! wengine makoloni yote na nchi zingine zilizotaka kumiliki makoloni. Wote walikuwa na maslahi yao na nchi moja kati ya hizo, ilikuwa ni Ujerumani! 10

11 38. June: Sasa nimeanza kufahamu 39. Grandpa: Mnamo mwaka 1884, kansela wa Ujerumani, Otto von Bismarck, alimkaribisha mfalme wa dola la Austria na Hangari, pia Ubelgiji. Ufaransa, Uingereza, Italia, Ureno, Urusi na nchi zingine kwenye kongamano la Berlin: na huko nchi za Ulaya zikagawana bara la Afrika... Flashback music Fourth Scene: At the Berlin Conference. SFX: Pencil drawing a line on paper. In the background: middleaged men murmuring 40. Bismarck: (speaking slowly with GERMAN accent while drawing a line) Mstari utapita kuanzia, huko Niger, mpaka Baroua, kaskazini mashariki ya pwani ya ziwa Chad. Eneo la kaskazini kwenye mstari huu litakuwa ni la Ufaransa kutokea sasa na Uingereza itachukua eneo la kusini. 41. France Representative: (speaking with FRENCH accent) Oh oui! C est bon! Ahhh, vizuri sana! 11

12 42. Britain Representative: (speaking with BRITISH accent) Vizuri sana! SFX: Pencil drawing a line on paper. In the background: middleaged men murmuring 43. Bismarck: (speaking slowly with GERMAN accent while drawing) eneo la bonde la Nile litakuwa chini ya Uingereza 44. Italy Representative: (interrupting, speaking with ITALIAN accent, impatiently) Mama Mia! Kansela Bismarck, samahani kwa kukukatiza huoni kama Wafaransa na Waingereza wameshapata vya kutosha? Zamu ya Italia itafika lini? 45. Bismarck: (speaking with GERMAN accent) Indio nilikuwa nakuja Italia sasa! Hamna sababu ya kuhuzunika 46. Italy Representative: (calming down) Buono, buono SFX: Paper, then pencil drawing two lines. In the background: middle-aged men murmuring 12

13 47. Bismarck: (speaking slowly with GERMAN accent while drawing) Naam hii mistari miwili kutoka: kati ya Tropiki ya Kansa na Meridian ya 17 pamoja na usawa wa 15 na Meridian ya 21. Mabwana ushauri wangu ni Italia ichukue sehemu ya kaskazini ya mstari huu Flashback music Fifth Scene: At home in the evening. SFX: Kitchen (pots, fire, kerosene lamp). In the background: crickets, then fade under 48. June: (shocked) Eti nini? Wamechukua ramani ya Afrika na kuweka mistari yao? 49. Grandpa: Naam, hata kama haikuwa hivyo, lakini watu hata leo wanasema kuwa wazungu waliigawa Afrika kwa rula.ukiangalia vizuri utaona mipaka mingi ya nchi za Afrika iko moja kwa moja! Hakuna mtu aliyejali maslahi ya kabila za watu au tamaduni zao. Hakuna hata nchi moja ya Kiafrika iliyo alikwa wala kutia saini kwenye kongamano hilo la Berlin. (pause) Angalia hapa kwenye ramani! 13

14 SFX: Paper, kitchen (pots, fire, kerosene lamp). In the background: crickets, then fade under 50. June: Umesema kweli babu! Hapa angalia Angola! au Sudan! (pause) je. Ujerumani nayo ilikuwa na makoloni huko Afrika mwishowe? 51. Grandpa: Ndio walikuwa nayo, kwa mfano Togo, Cameroon, Namibia, wakati huo yalijulikana kama Ujerumani, Afrika Kusini na Magharibi na Ujerumani, Afrika Mashariki, nchi ambazo sasa ni Tanzania, Burundi na Rwanda June: Hhhhh! Je Wajerumani walikuwa angalau wazuri kwa Waafrika? 53. Grandpa: Hmmm Wajerumani nao walitenda uhalifu kwa mfano mauaji ya halaiki ya Waherero, kundi la watu wa kabila kutoka Namibia. Lakini sio wao peke yao waliotenda uhalifu tufikirie pia Wabelgiji walivyofanya huko Kongo au Wareno walioruhusu vita ya muda mrefu dhidi ya makoloni yake! 54. June: Mpaka Waafrika walipochoka, wakaanzisha migomo na harakati ambazo ziliwaletea uhuru. Si ndio babu? 14

15 55. Grandpa: Hasa! Lakini hiyo nayo ni hadithi nyingine, nitakuhadithia wakati mwingine. Sasa nenda ukamsaidie mama, leo hata hajalalamika... Outro: Na mpaka hapo ndio tumekamilisha sehemu ya nane ya hadithi kwa jina Hapo Zamani za Kale Huko Afrika, kwenye makala ya Noa Bongo Jenga maisha Yako kuhusu historia ya Afrika! Unaweza kukisikiliza tena kipindi hiki au kipindi kingine chochote katika makala ya Noa Bongo Jenga maisha Yako tutumie maoni yako kwenye mtandao. Anuani yetu ni: Hadi wakati mwingine. Kwaheri! 15

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS : Intro/Outro (female/male) Scene 1: Mum (38, female)

More information

Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS: Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS: Intro/Outro (female/male) Scene 1: June (13, female) Mum

More information

unajua ulichofanya; umevumilia Vema ninataka umwambia Shetani katika jina la Yesu anapokufanyia jambo baya, Toka! Toka!

unajua ulichofanya; umevumilia Vema ninataka umwambia Shetani katika jina la Yesu anapokufanyia jambo baya, Toka! Toka! Title: Preached by Dr. w eugene SCOTT, PhD., Stanford University At the Los Angeles University Cathedral Copyright 2007, Pastor Melissa Scott. - all rights reserved Somo: Imehubiriwa na Dk. w. eugene SCOTT,

More information

Ikimbieni Zinaa. Ellis P. Forsman. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1

Ikimbieni Zinaa. Ellis P. Forsman. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1 Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1 Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Oktoba 11, 2011 Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 2 Ikimbieni Zinaa 1 Kor. 6:18 Wakristo wa

More information

HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA

HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 1. KUZALIWA Marehemu Dkt. William Augustao

More information

SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET

SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET Travelers should always check with their nation's State Department for current advisories on local conditions before traveling abroad. Booklet Design:

More information

Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level

Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level *6782314084* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2016 Additional Materials: Answer Booklet/Paper READ THESE INSTRUCTIONS FIRST If you have been

More information

TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES

TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI Mjadala wa kihistoria wa Hoja juu ya Sabato, Ukionyesha Jinsi Gani, Lini, Kwa Nini, na Ni Nani aliyefanya Badiliko hilo kutoka

More information

Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana?

Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord s Side?) Na Ellis P. Forsman Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord's Side?) 1 Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord s Side?)

More information

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2 Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2 Na Ellis P. Forsman Lord's Supper - Part 2) 1 Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2 Na Ellis P. Forsman Marchi 11, 2013 Lord's Supper - Part 2) 2 Pasaka Na Meza Ya Bwana

More information

EXL6 Swahili PhraseBook Davis

EXL6 Swahili PhraseBook Davis Swahili or Kiswahili, is an official language of Tanzania, Kenya, the Democratic Republic of the Congo, and Uganda. Swahili speakers can also be found in surrounding countries, such as Burundi, Rwanda,

More information

THE SPINE CLINIC. Spine Care. Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo. principles of neck and back care IOM SYSTEM ENDOSCOPE

THE SPINE CLINIC. Spine Care. Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo. principles of neck and back care IOM SYSTEM ENDOSCOPE THE SPINE CLINIC IOM SYSTEM ENDOSCOPE Ideal Work Posture Spine Care BONE SCALPEL principles of neck and back care Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo For Appointments & Contact KWA

More information

KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;

KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo; UTANGULIZI KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU, AMIN. KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;

More information

CROP PROTECTION PROGRAMME. Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems

CROP PROTECTION PROGRAMME. Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems CROP PROTECTION PROGRAMME Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems R No 7966 (ZA No 0449) FINAL TECHNICAL REPORT 15 October 2000 31 March

More information

NOVENA YA ROHO MTAKATIFU

NOVENA YA ROHO MTAKATIFU NOVENA YA ROHO MTAKATIFU Mpangilio wa sala na nyimbo kwa siku zote tisa Katoliki.ackyshine.com KWA SIKU ZOTE TISA Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa. Kusali novena hii

More information

UCHAMBUZI MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977

UCHAMBUZI MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 UCHAMBUZI WA Katiba Katiba YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 Uchambuzi huu umetayarishwa na Kikundi cha Sheria na Haki za Binadamu cha TIFPA kwa niaba ya wana TIFPA kwa msaada wa Ford Foundation

More information

PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS. Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way pit PROJECT AREA TANZANIA MAINLAND

PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS. Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way pit PROJECT AREA TANZANIA MAINLAND THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way

More information

DEFERRED LIST ON 23/10/2018

DEFERRED LIST ON 23/10/2018 DEFERRED LIST ON 23/10/2018 SN WP.NO Employer Applicant name Decision made 1 WPC 9595/16 M/S GA Insurance Tanzania ltd Mr. Amit Srivastava Awasilishe Job description, Mkataba wa ajira, kibali current kutoka

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian 1 sur 37 05.02.2006 0:36 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 5 (5 October 1999) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,

More information

2017 Student Program Curriculum

2017 Student Program Curriculum 2017 Student Program Curriculum Basic Program Information Host Institution: Program Title: Curriculum Title: Language(s): Grade(s) of Learners: Language Background: Program Setting: Program Type: Duration:

More information

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian 1 sur 55 05.02.2006 0:38 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 7 (6 June 2000) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,

More information

Remarks You Must Read & Know Before Buying Guingamp vs RC Strasbourg Tickets: Event date and time are subject to change - these changes are not

Remarks You Must Read & Know Before Buying Guingamp vs RC Strasbourg Tickets: Event date and time are subject to change - these changes are not {@!!!Video} Mbeya City - Mtibwa Sugar Tazama kutangaza 14.01.2019 Liga Huru HDTV Kuishi. Inasaidia, Mbeya City - Mtibwa Sugar ESPN Angalia.. Online Tangaza Kuishi.. Streaming Sopcast Online. Kuishi WATCH

More information

UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI

UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI YA KILIFI, KENYA. ROSE SULUBU KITSAO Tasnifu imewasilishwa

More information

Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka

Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka How to get rid of it guide 2 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka kinatoa mwongozo kijumla wa kuondoa taka kwa wakazi.

More information

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI Namba za simu;shule ya Sekondari MIONO Mkuu wa Shule: +255 784 369 381S.L.P 26 - CHALINZE Makamu Mkuu wa Shule: +255 787 448 383Tarehe 25.5.2017

More information

KUFANIKISHA MAGEUZI YA SHERIA ZA KUMILIKI ARDHI NCHINI KENYA TOLEO MAARUFU LA MSWADA WA KUMILIKI ARDHI YA JAMII

KUFANIKISHA MAGEUZI YA SHERIA ZA KUMILIKI ARDHI NCHINI KENYA TOLEO MAARUFU LA MSWADA WA KUMILIKI ARDHI YA JAMII Hakijamii Hakijamii Economic and Social Rights Centre (Hakijamii) 53 Park Building, kwenye barabara ya Ring Rd, tawi la Ngong Rd Sanduku la Posta 11356-00100, Nairobi Kenya Simu: +254 020 2589054/2593141

More information

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME KUHUSU MAKADIRIO YA

More information

Lesson 60: Quantifiers OTE and O OTE

Lesson 60: Quantifiers OTE and O OTE Lesson 60: s OTE and O OTE OTE [all, entire, whole] The usage of OTE varies from one noun class to another. A). OTE GELI [noun class] WA KI VI I JI A K K JIA [noun] msichana wasichana kijiko vijiko mkoba

More information

Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Oktoba, 2010 hadi Septemba, 2012) kuhusu Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Oktoba, 2010 hadi Septemba, 2012) kuhusu Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi TAARIFA YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUHUSU UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI

More information

The Passion of Africa

The Passion of Africa Africa is the heart of the world an empire of space, sounds, light, life, people, cultures, magnificence not found elsewhere in the world, Africa is magical, it captivates you with is sights, sounds, scents

More information

Composition of the UNICEF Executive Board

Composition of the UNICEF Executive Board The dates reflect years of membership in the Executive Board and not necessarily terms of office. 1 Afghanistan 1960 1963; 1965 1967; 1977 1980 Albania 2012 2014 Algeria 1971 1974; 1982 1985; 2004 2006

More information

1 The village party. Read and listen.

1 The village party. Read and listen. Read and listen. 1 The village party Sophia Walter and her brother, William, lived in a small village. On the last day of May, Sophia said to William, It s June next month and 21st June is the longest

More information

Deutsche Welle Learning By Ear 2011 African Entrepreneurs Episode 4: Giordano Custódio

Deutsche Welle Learning By Ear 2011 African Entrepreneurs Episode 4: Giordano Custódio African Entrepreneurs Successful and Responsible Episode 4 Title: Swimming against the current Giordano Custódio from Cape Verde Author: Nélio dos Santos / Johannes Beck Editors: Katrin Ogunsade / Adrian

More information

"10" written by. Evan Davis 8/26/16

10 written by. Evan Davis 8/26/16 "10" written by Evan Davis 8/26/16 Copyright (c) 2016 This evandavis80@gmail.com screenplay may not be 563-528-2326 used or reproduced without the express written permission of the author. FADE IN: 1 INT.

More information

Artistic Director s Notes: Please review the following notes. The notes on top are the most recent.

Artistic Director s Notes: Please review the following notes. The notes on top are the most recent. Artistic Director s Notes: Please review the following notes. The notes on top are the most recent. 2-16-19 Great job at the Parent Preview everyone. Mrs. DeNardo said you did a great job in the Green

More information

IBSA Goalball World Rankings 31 December 2017 Men's Division

IBSA Goalball World Rankings 31 December 2017 Men's Division IBSA Goalball World Rankings 31 December 2017 Men's Division Rank No v Oc t Se p Au g Ju l Team Region Score Goal Diff Results Gol p Gme Last Plyd Weight 1st 5 6 6 1 2 Brazil Americas 661.802 4.564 0.872

More information

LIVING THE LIFE:EPISODE TWO LUKE GOODWIN AND DUSTIN VESTAL. Copyright 2007 Luke Goodwin

LIVING THE LIFE:EPISODE TWO LUKE GOODWIN AND DUSTIN VESTAL. Copyright 2007 Luke Goodwin LIVING THE LIFE:EPISODE TWO By LUKE GOODWIN AND DUSTIN VESTAL Copyright 2007 Luke Goodwin INT. S LIVING ROOM-DAY Todd and same are sitting on the couch watching television. Whose the cruel person who put

More information

EMMA (REV.3) written by. Desmond Liang

EMMA (REV.3) written by. Desmond Liang (REV.3) written by Desmond Liang Oct 2nd, 2017 me@desliang.com 1. LAKESIDE Beautiful afternoon, Charlotte, a pretty and young woman, is sitting by the shore, looking towards the lake. Emma, with a bit

More information

EXT. LONDON - BUCKINGHAM PALACE - SERVICE ENTRANCE DAY. A ROYAL GUARDSMAN stands at attention. Proud. Stoic. Immovable.

EXT. LONDON - BUCKINGHAM PALACE - SERVICE ENTRANCE DAY. A ROYAL GUARDSMAN stands at attention. Proud. Stoic. Immovable. FADE IN: EXT. LONDON - BUCKINGHAM PALACE - SERVICE ENTRANCE - 1952 - DAY A stands at attention. Proud. Stoic. Immovable. (V.O.) It started off like any ordinary morning. The EMERGENCY RED PHONE RINGS.

More information

KENYA INSTITUTE OF CURRICULUM DEVELOPMENT EDU CHANNEL TV BROADCAST LINE UP AUGUST DEC 2017 WEEKLY TV PROGRAMMES

KENYA INSTITUTE OF CURRICULUM DEVELOPMENT EDU CHANNEL TV BROADCAST LINE UP AUGUST DEC 2017 WEEKLY TV PROGRAMMES KENYA INSTITUTE OF CURRICULUM DEVELOPMENT EDU CHANNEL TV BROADCAST LINE UP AUGUST DEC WEEKLY TV PROGRAMMES TIME MONDAY TUESDAY WEDNESDAY THURSDAY FRIDAY SATURDAY SUNDAY 6.00 AM - 6.20 AM 6.20AM - 6.25AM

More information

Analysing temporal series of SETI indicators for designing new policy instruments

Analysing temporal series of SETI indicators for designing new policy instruments Analysing temporal series of SETI indicators for designing new policy instruments Guillermo A. Lemarchand Science Policy Consultant Division of Science Policy an Capacity Building UNESCO-Paris Dakar, 12-14

More information

Carlotta s Revenge 17-DE05-W30. A very successful woman comes face to face with a childhood bully. However, this time the power has shifted.

Carlotta s Revenge 17-DE05-W30. A very successful woman comes face to face with a childhood bully. However, this time the power has shifted. Carlotta s Revenge 17-DE05-W30 A very successful woman comes face to face with a childhood bully. However, this time the power has shifted. INT. OFFICE- DAY Carlotta Lyles, mid 30s, sits at her desk in

More information

SCHRÖDINGER S BABY. written by. Chris Hicks

SCHRÖDINGER S BABY. written by. Chris Hicks SCHRÖDINGER S BABY written by Chris Hicks 937-620-2490 writechriswrite@gmail.com INT OFFICE - DAY Elevator DINGS as the door opens revealing (female, 30s, very pregnant looking) and (male early 20s). Both

More information

FREE WITH THE SUNDAY NATION. May 3, 2009 W-DJ. Creating the DJ Brand

FREE WITH THE SUNDAY NATION. May 3, 2009 W-DJ. Creating the DJ Brand FREE WITH THE SUNDAY NATION May 3, 2009 W-DJ Creating the DJ Brand 2 Sunday May3 If you are a DJ and still do audio mixes, you need to up your game. The art of deejaying has gone a notch higher, in gospel

More information

AU STATUTORY MEETINGS AND PARALLEL EVENTS From 25 June to 3 July 2018

AU STATUTORY MEETINGS AND PARALLEL EVENTS From 25 June to 3 July 2018 DURING THE PERIOD OF THE JUNE/JULY 2018 NOUAKCHOTT, AU STATUTORY MEETINGS AND PARALLEL EVENTS From 25 June to 3 July 2018 AU STATUTORY MEETINGS As at 28 June 2018 (1) THIRTY SIXTH (36 TH ) ORDINARY SESSION

More information

Copyright 2018 This screenplay may not be used or reproduced without the express written permission of the author.

Copyright 2018 This screenplay may not be used or reproduced without the express written permission of the author. Tutor By Simon K. Parker Copyright 2018 This screenplay may not be used or reproduced without the express written permission of the author. simonkyleparker@hotmail.co.uk 2. INT. S HOUSE - KITCHEN - DAY,

More information

VANITY FAIR. Christoffer de Lange. Christoffer de Lange FAV 2102 Murray Oliver Monday 1pm-5pm

VANITY FAIR. Christoffer de Lange. Christoffer de Lange FAV 2102 Murray Oliver Monday 1pm-5pm VANITY FAIR BY September 2, 2004 2037542 FAV 2102 Murray Oliver Monday 1pm-5pm SYNOPSIS A modern take on the Greek myth of Narcissus, the youth who fell in love with his own reflection. Natalie is obsessed

More information

Telecommunication satellites & services. Azerspace-1, 46 0 E Azerspace-2, 45 0 E

Telecommunication satellites & services. Azerspace-1, 46 0 E Azerspace-2, 45 0 E Telecommunication satellites & services Azerspace-1, 46 0 E Azerspace-2, 45 0 E SERVICES AND SOLUTIONS 1. Space Segment Leasing Services Full Time Space Segment Leasing capacity on both C-band and Ku-band

More information

Sequencing 10. Readability 4.8 Story Comprehension To Go 64 Copyright 2003 LinguiSystems, Inc.

Sequencing 10. Readability 4.8 Story Comprehension To Go 64 Copyright 2003 LinguiSystems, Inc. Sequencing 10 Karen is enjoying a beautiful summer day. She is sitting in her favorite chair with a cold drink. She is watching her kids play with the garden hose. They are yelling and spraying each other

More information

Going Out. Bambang Yudianto. (c) Bambang Yudianto 2010

Going Out. Bambang Yudianto. (c) Bambang Yudianto 2010 Going Out By Bambang Yudianto (c) Bambang Yudianto 2010 First Draft yudhianto.b@gmail.com INT. APARTMENT LIVING ROOM - NIGHT FADE IN., late 20, walks out her room wearing only a WHITE TOWEL. She have a

More information

Si could barely contain his excitement as his mother parked and they

Si could barely contain his excitement as his mother parked and they 4 WEEK Choosing to do what you should even when you don't want to Proverbs 25:16 MEMORY VERSE 2 Peter 1:3a Si could barely contain his excitement as his mother parked and they made their way through a

More information

W hat a day! Sophie thought.

W hat a day! Sophie thought. CHAPTER 1 W hat a day! Sophie thought. Because today was the day she was something. And that something was Sophie the Snoop. Yes! That was who she was from now on. More than anything, Sophie wanted to

More information

CAADP Implementation and Achievement of Outcomes. Sam Benin, IFPRI

CAADP Implementation and Achievement of Outcomes. Sam Benin, IFPRI CAADP Implementation and Achievement of Outcomes Sam Benin, IFPRI Introduction and Objectives Last 2 days: learned about significant growth and poverty reduc7on in Africa in recent decades Ques6on: how

More information

uṯēndi wa ja'fari bismillähi ar-rahmani ar-rahīmi

uṯēndi wa ja'fari bismillähi ar-rahmani ar-rahīmi ا ت ن د و ج ع ف ر uṯēndi wa ja'fari The Ballad of Ja'far ب س م الل ه الر حم ن الر ح ي م bismillähi ar-rahmani ar-rahīmi In the name of God, the Compassionate, the Merciful (١) ب س م ل ه ا و ل * پ و ك ا

More information

1. FGF : Presentation of the Association 1.1 Creation

1. FGF : Presentation of the Association 1.1 Creation Fédération des Géomètres Francophones 40 Avenue Hoche 75008- PARIS 00 33 153 83 88 12 1. FGF : Presentation of the Association 1.1 Creation Created in 2005 in Rabat French-speaking sessions during the

More information

Chapter 1. A box had arrived in the mail for Mia.

Chapter 1. A box had arrived in the mail for Mia. Chapter 1 American Robin every summer, baby birds fly from the nest A box had arrived in the mail for Mia. Not just any old box, but a box from one of Mia s best friends, Caitlin, whom she d met at summer

More information

The Black Stallion. Reading Level 3.2

The Black Stallion. Reading Level 3.2 The Black Stallion Reading Level 3.2 Adapted Book Usage These adapted resources are provided by the ACCESS Project at the University of Delaware s Center for Disability Studies for teachers to help students

More information

Park (mis)adventures

Park (mis)adventures Park (mis)adventures Park (mis)adventures Millie is a little, wise and happy mouse who, like all the other mice in Goudetown, sometimes gets into the game so much that she forgets her parents advice. This

More information

Higher Level. Test Listening. Name: Class: There s a rugby match between and Australia. The match is on Channel 1.

Higher Level. Test Listening. Name: Class: There s a rugby match between and Australia. The match is on Channel 1. Listening 1 CD1 7 Listen to two friends talking about sports. Complete the sentences with one word. 5 There s a rugby match between and Australia. The match is on Channel 1. Two water sports are on TV

More information

UFC Fight Night: Belfort vs Gastelum March 11 Fortaleza, Brazil

UFC Fight Night: Belfort vs Gastelum March 11 Fortaleza, Brazil UFC Fight Night: Belfort vs Gastelum March 11 Fortaleza, Brazil Fight Pass Prelims (#1-2) Featured bout: Jason vs Kennedy Time (EST) 7:00 PM Time (GMT) 12:00 AM ONLINE: Brazil, Barbados, Jamaica, - Blocked

More information

Jack Fix Age: 23 Birthday: February 4 Height: 190cm Weight: 73 kg Family members: 4 Nationality: Canadian Canada. a carpenter

Jack Fix Age: 23 Birthday: February 4 Height: 190cm Weight: 73 kg Family members: 4 Nationality: Canadian Canada. a carpenter Jack Fix Age: 23 Birthday: February 4 Height: 190cm Weight: 73 kg Family members: 4 Nationality: Canadian Canada a carpenter Big Town Builders Sun. go to ~ Mon. watch ~ Tues. clean Wed. study Thurs. read

More information

Issue: 002 March /May 2017

Issue: 002 March /May 2017 Issue: 002 March /May 2017 SkaterS in AdvertS Girls In Skateboarding: with Saya HadaSSa SKATE KING 2016 International Ollie ConteSt 2017 ComicS MuSic with PowerSlide Band New kids SkateNation254 Cover:

More information

As long as anyone can remember, we have tilled the fields in our

As long as anyone can remember, we have tilled the fields in our Ox-plows and tractors As long as anyone can remember, we have tilled the fields in our village with hand-hoes. Animal traction, in the form of ox-plows, is a more recent practice. Oxen reduce the drudgery,

More information

bomb edited Black screen: the only thing to see is red numbers on what looks like a digital clock.

bomb edited Black screen: the only thing to see is red numbers on what looks like a digital clock. OPENING SCENE SFX. Constant ticking/beeping of a clock Black screen: the only thing to see is red numbers on what looks like a digital clock. It is counting down: 5:00, 4:59, 4:58... The room is gradually

More information

FRIENDS. Written by. D.A. Silva

FRIENDS. Written by. D.A. Silva FRIENDS Written by D.A. Silva Copyright (c) 2018 This screenplay may not be used or reproduced for any purpose including educational purposes without the expressed written permission of the author. FADE

More information

The Kilimanjaro Porters & Guides. My Motivational Inspiration- Karen Jolly

The Kilimanjaro Porters & Guides. My Motivational Inspiration- Karen Jolly The Kilimanjaro Porters & Guides My Motivational Inspiration- Karen Jolly In June 2011, I was given the opportunity to climb Mt. Kilimanjaro, Africa s highest mountain and the highest free standing mountain

More information

Lesson Plan 2. Habitats

Lesson Plan 2. Habitats Lesson Plan 2 Habitats CRITICAL UTCMES C 1: Identify and solve problems in which responses display that responsible decisions using critical and creative thinking have been made. C 7: Demonstrate and understanding

More information

Sporting Calendar sntv.com

Sporting Calendar sntv.com Sporting Calendar 2015 JANUARY 36 th Dakar Rally 3 rd -17 th Jan AFC Asian Cup 9 th -31 st Jan College Football National Championship 12th Jan FIS Freestyle Ski & Snowboarding World Championships 15-25

More information

Marianne arpin. Planet Girl

Marianne arpin. Planet Girl Marianne arpin HigH ScHool KiSSeS Planet Girl Johnny and David Another rainy day! I m so sick of the gray wet weather. Used to it, ut sick of it. It s always so nice in the summer, when my family visits

More information

Foreign overnights in the Nordic countries 2015

Foreign overnights in the Nordic countries 2015 Foreign overnights in the Nordic countries 2015 Sources: Statistics Statistics Statistics Statistics July 2016 VISIT FINLAND STATISTICS Contents Foreign overnights in the Nordic countries.4 Overnights

More information

"JOHNNY SMILES" Zapryan Tolev

JOHNNY SMILES Zapryan Tolev "JOHNNY SMILES" by Zapryan Tolev zapryantolev@gmail.com This screenplay may not be used or reproduced for any purpose including educational purposes without the expressed written permission of the author.

More information

IR-Pay Go Rates. There are three pricing groups for Pay Go rates for International Roaming as follows:

IR-Pay Go Rates. There are three pricing groups for Pay Go rates for International Roaming as follows: IR-Pay Go Rates A. IR Pay Go Rate Summary There are three pricing groups for Pay Go rates for International Roaming as follows: Sr IR Pay Go Rate Group 1 Rs 2 2 2 2 Rs 10 10 10 3 Rs 50 600 25 Applicable

More information

Lonely. Lonely By ReadWorks

Lonely. Lonely By ReadWorks Lonely Lonely By ReadWorks When the bell rang for lunch, instead of going to the outdoor cafeteria to meet Morgan like she usually did, Jessica took her lunchbox and retreated to the library. The rest

More information

A Play In One Act RUDYARD KIPLING'S CLASSIC. adapted by SUSAN CARLE THE DRAMATIC PUBLISHING COMPANY

A Play In One Act RUDYARD KIPLING'S CLASSIC. adapted by SUSAN CARLE THE DRAMATIC PUBLISHING COMPANY A Play In One Act RUDYARD KIPLING'S CLASSIC Rikki-TikkiArTavi adapted by SUSAN CARLE THE DRAMATIC PUBLISHING COMPANY *** NOTICE *** The amateur and stock acting rights to this work are controlled exclusively

More information

Scuba Diving with Sharks

Scuba Diving with Sharks Scuba Diving with Sharks Overview Location Duration Dates Simons Town (near Cape Town), South Africa. 3 weeks this is a fixed 3-week programme. All year round. Requirements Minimum age: 18. You must have

More information

Chasing the Peloton 1 EXTRACT. Chasing the Peloton. a ten minute play. Alex Broun PLEASE NOTE:

Chasing the Peloton 1  EXTRACT. Chasing the Peloton. a ten minute play. Alex Broun PLEASE NOTE: Chasing the Peloton 1 www.alexbroun.com EXTRACT Chasing the Peloton a ten minute play by Alex Broun PLEASE NOTE: THIS PLAY SCRIPT HAS BEEN DOWNLOADED FROM www.alexbroun.com BY AGREEING TO THE TERMS AND

More information

SEE OTHER SHEET for DIRECTIONS on What to Mark Up on Here EVALUATE SAMPLE STORY

SEE OTHER SHEET for DIRECTIONS on What to Mark Up on Here EVALUATE SAMPLE STORY FULL Names: Hr: SEE OTHER SHEET for DIRECTIONS on What to Mark Up on Here EVALUATE SAMPLE STORY MAKE COMMENTS ON HERE Carefully Follow Directions on the OTHER Sheet Note You are NOT Identifying the Lit

More information

50 mins. year. Use 2B or HB pencil only. Time available for students to complete test: 50 minutes

50 mins. year. Use 2B or HB pencil only. Time available for students to complete test: 50 minutes READING year 5 2014 50 mins Time available for students to complete test: 50 minutes Use 2B or HB pencil only Australian Curriculum, Assessment and Reporting Authority, 2014 Read On your bike! on page

More information

Family Picture with all participants at the CAT AGM 2018

Family Picture with all participants at the CAT AGM 2018 The Confederation of African Tennis (CAT) organized in conjunction with Rwanda Tennis Federation its Annual General Meeting (AGM) on 28 th April 2018 at the Hotel des Mille Collines in Kigali with the

More information

5. What does the phrase

5. What does the phrase Name: Date: WEEK 29 1 Read the text and then answer the questions. Matt liked watching martial arts movies. He had always been interested in learning a martial art. It looked like fun, and he wanted to

More information

Fact sheet on elections and membership

Fact sheet on elections and membership Commission on Narcotic Drugs Commission on Crime Prevention and Criminal Justice Fact sheet on elections and membership States members of the CCPCJ and CND (and other functional commissions of the Economic

More information

The Donkey Seller by Carrie Richardson & Clare Jones

The Donkey Seller by Carrie Richardson & Clare Jones Please record any copying / data storage on the appropriate licence report form, e.g. Schools Printed Music Licence (SPML), CCLI, CLA, etc. Restricted to purchasing school / organisation. Performances

More information

LETTING GO. Written by. Marnie Mitchell-Lister

LETTING GO. Written by. Marnie Mitchell-Lister LETTING GO Written by Marnie Mitchell-Lister Copyright 2011 jrsygrl65@aol.com FADE IN: INT. LIVING ROOM - DAY The soft murmur of conversation mixes with somber music. People dressed in dark clothing mingle.

More information

Life don beta 1. SFX: SOUND OF FOOTSTEPS WIPING THEIR FEET ON THE DOOR MAT, DOOR OPENS. 2. INNOCENT: (EXCITEDLY) Chuxzy bobo! Daddy don reach house..

Life don beta 1. SFX: SOUND OF FOOTSTEPS WIPING THEIR FEET ON THE DOOR MAT, DOOR OPENS. 2. INNOCENT: (EXCITEDLY) Chuxzy bobo! Daddy don reach house.. EPISODE 7 Life don beta CHARACTERS Innocent Ngozi Efe Whiz papa Isoken SCENE 1 1. SFX: SOUND OF FOOTSTEPS WIPING THEIR FEET ON THE DOOR MAT, DOOR OPENS. 2. INNOCENT: (EXCITEDLY) Chuxzy bobo! Daddy don

More information

WJUC OPEN LIVE STREAMING SCHEDULE FRIDAY 7/22 WJUC 2 WJUC. Visit to access.

WJUC OPEN LIVE STREAMING SCHEDULE FRIDAY 7/22 WJUC 2 WJUC. Visit   to access. 1 MISHKALÉ Klezmer & Gypsy Music Mishkalè is a traditional Eastern European orchestra. They have more energy and wild unpredictability than you can shake a stick at. We defy you to sit still. Mishkalé

More information

THERE MUST BE A WAY Jim Low a play for primary school students

THERE MUST BE A WAY Jim Low a play for primary school students THERE MUST BE A WAY Jim Low a play for primary school students Lyrics and/or music if required for the play available on: http://acrossthebluemountains.com.au/ Characters: Gregory Blaxland, William Lawson,

More information

Life Don Beta. Scene 1, Pullen s House, Morning (about 8AM). 1. SFX: EARLY MORNING SOUNDS, NEWSPAPER HAWKERS HONKING THEIR HORNS, MORNING TRAFFIC.

Life Don Beta. Scene 1, Pullen s House, Morning (about 8AM). 1. SFX: EARLY MORNING SOUNDS, NEWSPAPER HAWKERS HONKING THEIR HORNS, MORNING TRAFFIC. Episode 1 Life Don Beta Characters Efe Isoken Edogun Grace Pullen Scene 1, Pullen s House, Morning (about 8AM). 1. SFX: EARLY MORNING SOUNDS, NEWSPAPER HAWKERS HONKING THEIR HORNS, MORNING TRAFFIC. 2.

More information

Snuff. Zaim Oneeb. Sterling Channel 2014

Snuff. Zaim Oneeb. Sterling Channel 2014 Snuff. By Zaim Oneeb Sterling Channel 2014 zaim_oneeb@hotmail.co.uk EXT. BACK GARDEN - NIGHT Jumps into the garden from the back fence. takes a camera from his pocket and points it at himself. Hi viewers.

More information

Two Left Feet (A Veteran s Day Script)

Two Left Feet (A Veteran s Day Script) Two Left Feet (A Veteran s Day Script) A Puppet Script by Tom Smith What Who When Wear (Props) In this puppet script, Willie, Joey, and Susie talk about what Veteran s Day is all about and discuss ways

More information

AUTOMATIC DRIVE. Mark Renshaw

AUTOMATIC DRIVE. Mark Renshaw AUTOMATIC DRIVE by Mark Renshaw Copyright (c) June 2013 Mark Renshaw This screenplay may not be used or reproduced without the express written permission of the author. FADE IN: EXT. FUTURISTIC SUPER-HIGHWAY

More information

STRAY. Written by. Rachel Hensley

STRAY. Written by. Rachel Hensley STRAY Written by Rachel Hensley EXT. FRONT YARD - MORNING, a southern man of 50 years, stomps across his wellmaintained front yard, going back and forth from his porch to his flower gardens several times.

More information

8 Rosa and the Golden Bird pgs :Layout 1 2/25/09 5:14 PM Page 11. At the Theatre

8 Rosa and the Golden Bird pgs :Layout 1 2/25/09 5:14 PM Page 11. At the Theatre 8 Rosa and the Golden Bird pgs :Layout 1 2/25/09 5:14 PM Page 11 1 At the Theatre Rosa Maitland sat in the darkened theatre, her eyes fixed on the stage as Cinderella and Prince Charming danced together.

More information

Country programme documents ending in 2018, 2019 and 2010

Country programme documents ending in 2018, 2019 and 2010 Office of the Secretary of the Board United Nations Children s Fund (UNICEF) Country documents ending in 2018, 2019 and 2010 This document provides an overview of the country documents that will expire

More information

ARTS IMPACT LESSON PLAN. Enduring Understanding Using tempo and beat in a spoken text can allow dancers to move in rhythm to the words.

ARTS IMPACT LESSON PLAN. Enduring Understanding Using tempo and beat in a spoken text can allow dancers to move in rhythm to the words. Dance Lesson ARTS IMPACT LESSON PLAN Cha Cha Children Authors: Ann Welton with Joanne Petroff Grade Level: Pre-kindergarten Enduring Understanding Using tempo and beat in a spoken text can allow dancers

More information

Selected Interest & Exchange Rates

Selected Interest & Exchange Rates (5/517) Selected Interest & Exchange Rates Weekly Series of Charts i January 29, 1990 Prepared by the FINANCIAL MARKETS SECTION DIVISION OF INTERNATIONAL FINANCE BOARD OF GOVERNORS FEDERAL RESERVE SYSTEM

More information

Once Bitten, Twice Shy. Natasha Harmer

Once Bitten, Twice Shy. Natasha Harmer Once Bitten, Twice Shy By Natasha Harmer tasharmer@yahoo.com 07749326457 INT. LIVING ROOM. EVENING We are looking into a vast living area of a large cottage. The decoration is eclectic and tatty, and although

More information

PLEASE, HARRY. Written by. Nathan Harper-Wendt

PLEASE, HARRY. Written by. Nathan Harper-Wendt PLEASE, Written by Nathan Harper-Wendt Copyright 2011 This screenplay may not be used or reproduced without the express written permission of the author. nathanharperwendt@gmail.com FADE IN INT. A DARK

More information

Reader s Theater: A Caterpillar s Voice. To Read Aloud in Class or to Perform

Reader s Theater: A Caterpillar s Voice. To Read Aloud in Class or to Perform Reader s Theater: A Caterpillar s Voice To Read Aloud in Class or to Perform Based on a story retold by Elaine L. Lindy Adapted as a play script by Lindsay Parker Characters: NARRATOR or NARRATORS (one

More information

Reader s Theater: A Caterpillar s Voice. To Read Aloud in Class or to Perform

Reader s Theater: A Caterpillar s Voice. To Read Aloud in Class or to Perform Reader s Theater: A Caterpillar s Voice To Read Aloud in Class or to Perform Based on a story retold by Elaine L. Lindy Adapted as a play script by Lindsay Parker Characters: NARRATOR or NARRATORS (one

More information

The Rose Bud. by Elisabeth Dubois. Elisabeth Dubois AWG Registered. Australia.

The Rose Bud. by Elisabeth Dubois. Elisabeth Dubois AWG Registered. Australia. The Rose Bud by Elisabeth Dubois Elisabeth Dubois AWG Registered elis@bigpond.net.au Australia. INT. SMALL STUDIO APARTMENT - LOUNGE/ DINING AREA - NIGHT, a good looking 30 year old tall blonde, wears

More information