Ikimbieni Zinaa. Ellis P. Forsman. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1

Similar documents
Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana?

TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES

unajua ulichofanya; umevumilia Vema ninataka umwambia Shetani katika jina la Yesu anapokufanyia jambo baya, Toka! Toka!

Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2

NOVENA YA ROHO MTAKATIFU

Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz

Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:

SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET

THE SPINE CLINIC. Spine Care. Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo. principles of neck and back care IOM SYSTEM ENDOSCOPE

HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA

KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;

CROP PROTECTION PROGRAMME. Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

UCHAMBUZI MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977

PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS. Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way pit PROJECT AREA TANZANIA MAINLAND

EXL6 Swahili PhraseBook Davis

Lesson 60: Quantifiers OTE and O OTE

The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian

2017 Student Program Curriculum

UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI

Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME

KUFANIKISHA MAGEUZI YA SHERIA ZA KUMILIKI ARDHI NCHINI KENYA TOLEO MAARUFU LA MSWADA WA KUMILIKI ARDHI YA JAMII

Remarks You Must Read & Know Before Buying Guingamp vs RC Strasbourg Tickets: Event date and time are subject to change - these changes are not

uṯēndi wa ja'fari bismillähi ar-rahmani ar-rahīmi

DEFERRED LIST ON 23/10/2018

Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Oktoba, 2010 hadi Septemba, 2012) kuhusu Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

KENYA INSTITUTE OF CURRICULUM DEVELOPMENT EDU CHANNEL TV BROADCAST LINE UP AUGUST DEC 2017 WEEKLY TV PROGRAMMES

FREE WITH THE SUNDAY NATION. May 3, 2009 W-DJ. Creating the DJ Brand

The Passion of Africa

Heidrun Kröger, SIL Southern Africa for Bantu 6 in Helsinki,

CONTINUITY AND DIVERGENCE

Inkling Fan Language Character Encoding Version 0.3

Cp Cp, Pole Pole Reflections on my experience Summiting Mt. Kilimanjaro The Roof of Africa February 4 11, 2017

WAEC Sample Questions and Schemes - Uploaded online by GONJA (ELECTIVE)

WAZA Publications Advertising Technical Specifications and Rate Card

CONTINUITY AND DIVERGENCE

Yellow Belt. Belt Requirements. Form: Keibon 1 Taeguek Il Chang (1st 5 moves)

Hawaiiana Award Program: Prerequisite: Helpful Links:

Total Frequency Percent CAPS Graduate Graduate Intensive English

Spirits Of The Slaves. K.J. Lewis. 4/2018 K.J. Lewis

CONTINUITY AND DIVERGENCE

CONTINUITY AND DIVERGENCE

MARINE ENVIRONMENTAL EDUCATION DRAFT MANUAL FOR SCHOOLS AROUND WATAMU MARINE NATIONAL PARK AND RESERVE

Archery Australia BOARD NEWS D E C E M B E R

Sticky Buns Across America: Back-Roads Biking From Sea To Shining Sea By Léo Woodland

MATOKEO YA USAILI WA TAREHE KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2018

MARIE SKŁODOWSKA-CURIE ACTIONS STATISTICS INDIVIDUAL FELLOWSHIPS

DOWNLOAD OR READ : TOLL THE HOUNDS BOOK EIGHT OF THE MALAZAN BOOK OF THE FALLEN PDF EBOOK EPUB MOBI

Atanasio, Dominick Office Phone: (909)

HO CĄK LANGUAGE BASEBALL 2017 STUDY GUIDE

15 th BELGRADE TROPHY 2014 POOMSAE

JUDO SOUTH AFRICA YELLOW BELT (5th KYU) SYLLABUS

GUAKIA BABA Sierra $2.50. Roberto Sierra. (Our Father) for SATB (divisi), a cappella. Subito Music Publishing

«BALTIC-CUP 2018 WAKO K1» Among kids, cadets and younger juniors

To the Field of Stars

Mbeya City FC x Mtibwa Sugar Online stream tv today WATCH HERE LINK

Sport Center Vozdovac Banjica, Crnotravska 4, Belgrade

DWIGHT UNGSTAD S Annual Production FOR SALE. INNISFAIL AUCTION MARKET Innisfail, Alberta September 21, :00 P.M.

ACT OPTIMIST CHAMPIONSHIP

ARTS IMPACT LESSON PLAN. Enduring Understanding Using tempo and beat in a spoken text can allow dancers to move in rhythm to the words.

BELGRADE TROPHY rd POOMSAE OPEN

Meriendas Saludables/Healthy Snacks (Comida Sana Con MiPiramide/Healthy Eating With MyPyramid) (Multilingual Edition) By Mari C.

MON GRADE PROMOTION SYLLABUS PERSONAL RECORD OF ACHIEVEMENT

to emph(ls12~e ""'...,...'... must resdec~t a manner

JUDOSCOTLAND GRADE PROMOTION SYLLABUS RECORD OF ACHIEVEMENT

Virginia International University

E xpe rii e nc e step-by-step guidance with long division

KYU GRADE PROMOTION SYLLABUS PERSONAL RECORD OF ACHIEVEMENT

Teams Fulham Bournemouth played so far 4 matches. Fulham won 0 direct matches. Bournemouth won 2 matches. 2 matches ended in a draw.

What a Wonderful World

Ushiro-ukemi Yoko-Ukemi Mae-Mawari-Ukemi (x3) O-soto-otoshi De-ashi-barai Uki-goshi Kesa-gatame Mune-gatame Kuzure-kesa-gatame

Titanium Etch. TAIWAX MAXWAVE Co., Ltd, No. 999, Bayiu 1 st Rd., Guanyin Township, Taoyuan County Taiwan. Evan Chen

ISO/IEC JTC 1/SC 2 N 3208

Governors' Camp Game Report, Masai Mara, May 2012

THE 27TH BIENNIAL INTERVARSITY GAMES 2018

Ellomay Capital Ltd.

2018 WTA Future Stars Finals

FÉDÉRATION INTERNATIONALE DE ROLLER SPORTS

Update of trade weights data underlying the EERs and HCIs

Lot 59. Bulls Delivered & Kept Free until May 1st 1st Breeding Season Guarantee Sale broadcast on DVAuction.com

Soo Bahk Do Moo Duk Kwan Curriculum

1) Fitness ~ A Black Belt must be an example to all, mentally as well as physically. In this step you will demonstrate physical improvements.

ISU GP 2018 Skate Canada International

TENTATIVE SCHEDULE OF EVENTS

THIS DOCUMENT IS STILL UNDER STUDY AND SUBJECT TO CHANGE. IT SHOULD NOT BE USED FOR REFERENCE PURPOSES.

Oceania Throws Pentathlon Challenge Women s Results

Kenya Travel Information

NAMA DRMEŠ MEDLEY. Croatian. Dick Oakes learned these dances from Dick Crum.

Public register of domestic violence programme providers

Detailed Team Match Results

Willett Kempton Center for Carbon-free Power Integration College of Earth, Ocean, and Environment University of Delaware

East Los Angeles College Inter- Club Council

Everybody Joy Towell Wilderness Oaks Elementary NEISD

CONTINUITY AND DIVERGENCE

Standing O!vation O!ward. Outstanding Performance O!ward DC Dance Center. Encore! Level Entertainent O!ward. "Big Bang"

DOWNLOAD OR READ : LUCAS TRENT 3 GRAND THEFT MAGIC PDF EBOOK EPUB MOBI

Transcription:

Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1

Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Oktoba 11, 2011 Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 2

Ikimbieni Zinaa 1 Kor. 6:18 Wakristo wa kule Korintho walikumbana na changamoto kuu katika kuishi maisha matakatifu. Mji huo ulikuwa umejulikana kwa ufisadi. Hekalu la Venus ulichukua makuhani wa kike waliojitoa takriban 1000 katika ukahaba wakitumia jina la dini. Baadhi ya Wakristo waliacha ufisadi kutokana na uongofu wao. 1 Kor. 6:9-11, Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala watukanaji, wala wanyang anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. Na Paulo anawaonya Kukimbia zinaa. 1 Kor. 6:18, Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Wito huo unahitajika leo pia. Ufisadi (Uzinzi) ni mwingi katika mila zetu. Zinaa inatafsiriwa (na kutokutafsiriwa), ikiwasababisha wengine kujiingiza katika tabia ya hatari. Wale wanaomfuata Kristo lazima wawe na uelewa mzuri wa kile ambacho ni kibaya. Na hivi leo watu wanahitaji kuonywa, Kuikimbia zinaa! Kwa sababu wengi wanatafsiri vibaya ufisadi leo, tunafanya vizuri kwa tahadhari ya kwanza tafsiri ya Biblia kuhusu tabia hipi ambayo tunatakiwa kuikimbia. Maneno ya jumla. Tafsiri ya zinaa Neno la Kiyunani imetafsiri neno zinaa (KJV), tabia ya uzinzi (NKJV) ni porneia. Kiujumla inatumika kuonyesha dhambi yeyote ya uzinzi Kamusi ya maneno yaliyotafsiriwa. Hivyo inajumuisha tendo lolote la uzinzi: Uasherati, uzinzi, usodoma, kushiriki uzinzi na wanyama, n.k. Thayer. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 3

Maneno ya Wazi. Wazinzi (moichao) kushirikiana kimwili kinyume cha sheria na mwenza wa mwingine Thayer Usodoma (arsenokoites) mtu anayelala na mwanaume mwezake kama kwa mwanamke, tendo la ndoa la jinsia moja. 1 Kor. 6:9, Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti. 1 Tim. 1:10, Na wazinifu, na wafiraji, na waibao watu, na waongo, nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote lingine lisilopatana na mafundisho yenye uzima; Kuzini na wanyama kulala na wanyama. Walawi 18:23, Wala usilale na mnyama ye yote, ili kujitia unajisi kwake; wala mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye; ni uchafuko. Uchafu (aselgia) uchafu, uharibifu, kuzini kupita kiasi, hamu isiyo ya kawaida, - Kamusi Iliyokamilika. Rum. 13:13, Kama ilivyhusika na mchana na tuenende kwa adabu; si kwa ulafi na ulevi, si kwa ufisadi na uasherati, si kwa ugomvi na wivu. Neno hili linaweza kujumlisha tendo la ndoa la mdomo, ambayo wengine wamejaribu kutafsiri kwamba siyo ngono, ambayo pia imekuwa tatizo kubwa miongoni mwa vijana (na madhara yanayotisha). Uzinzi ni neno la jumla la tendo la ndoa. Zinaa ni uzinzi; lakini uzinzi ni neno pana ambayo inajumuisha dhambi zingine za uzinzi pia. Marufuku dhidi ya uzinzi inaweza kushukuriwa tu pale tunapoelewa Inaangamiza mwili. Maangamizi ya uzinzi Magonjwa mengi ya bacteria mara nyingi huletwa kwa sababu ya uzinzi. Mengi ya magonjwa haya yaletwayo na uzinzi hayatibiki. Watu wengi wamajifunza njia ngumu, kitu ambacho Solomoni aliwaonya watu wake. Mithali 5:11-12, Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, nyama yako ya mwili wako utakapoangamia; ukasema jinsi nilivyochukia maonyo, na moyo wangu ukadharau kukemewa; Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 4

Inaangamiza mji. Ndoa iliyodhamiriwa kukaa maisha yote uvunjika, maranyingi haiwezi kurekebishwa. Math. 19:4-6, Akajibu akawaambia hamkusoma ya kuwa yeye aliyewaumba mwanzo, aliwaumba mtu mume na mtu mke, akasema, kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja? Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu mwanadamu asiwatenganishe. Watoto wanaangamizwa, kwa madhara ya hisia ambayo huenda hadi ukubwani. Mal. 2:16, Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana. Sehemu ya ndoa ijayo inawekwa chini (ni nani anayenda mema yaliyo haribiwa kwa sababu ya magonjwa?). Inaangamiza nafsi. Itakuwa vigumu kujisamehe mwenyewe, kutakuwa na kujilaumu binafsi. Mithali 5:12-13, Ukasema, jinsi nilivyochukia maonyo, na moyo wangu ukadharau kukemewa; wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! Nafsi yako itanyimwa marafiki wazuri, ambao uliharibu uaminfu wao. Mithali 6:30-35, Watu hawamdharau mwivi, akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa; lakini akipatikana atalipa mara saba; atatoa mali yote ya nyumba yake. Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; wala fedheha yake haitafutika. Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi. Hatakubali ukombozi uwao wote; wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi. Kama nilitubu na sikusamehewa, hakuna tumaini. 1 Kor. 6:9-10, Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang anyi. Gal. 5:19-21, Basi matendo ya mwili ni dhahairi, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 5

kama nilivyokwisha kuwaambia ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu. Ebr. 13:4, Ndoa na ieshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu. Tunaona ni kwa nini Paulo anaandika Ikimbie zinaa. Haipaswi kuchukuliwa kirahisi! Ili kwamba tuweze kufanikiwa kwa kuikimbia zinaa, hapa kuna baadhi ya mawazo juu ya Jifunze kwa Yusufu. Madhara ya Uzinzi Alikuwa amefaulu kwa kuikimbia uzinzi kwa mke wa Potifa. Mwanzo 39:7-12, Ikawa baada ya mambo hayo, mke wa bwana wake akamtamani Yusufu, akamwambia lala nami. Lakini akakataa, akamwambia mke wa bwana wake, tazama bwana wangu hajui kitu kilichowekwa kwangu nyumbani, na vyote alivyo navyo amevitia mkononi mwangu. Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nikamkose Mungu? Akawa akizidi kusema na Yusufu siku baada ya siku, lakini hakumsikia alale naye, wala aongee naye. Ikawa siku moja akaingia nyumabni atende kazi yake, wala hapakuwa na mtu katika watu wa nyumbani humo ndani; huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia akatoka nje. Cha muhimu zaidi, alithamini uhusiano wake na Mungu. Mwanzo 39:9, Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkose Mungu? Hivyo kimbia tamaa za ujanani, badala yake uweke uungu. 2 Tim. 2:22, Lakini zikimbie tama za ujanani ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi. Jifunze kwa Solomoni. Alimwonya mwanaye kuhusu mushahara wa uzinzi. Mith. 5:1-6, Mwanangu sikiliza hekima yangu; tega sikio lako; mzishike akilizangu; upate kuilinda busara, na midomo yako iyahifadhi maarifa. Maana midomo ya Malaya hudondosha asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; ni mkali kama upanga wa makali kuwili. Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 6

kuzimu, hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; njia zake ni za kutanga tanga wala hana habari. Mith. 5: 9-14, Usije ukawapa wengine hekima yako, na wakorofi miaka yako; wageni wasije wakashiba nguvu zako; kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, nyama yako ya mwili wako utakapoangamia; ukasema jinsi nilivyochukia maonyo, na moyo wangu ukadharau kukemewa; wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, wala sikuwategea sikio langu walionifundisha! Nalikuwa karibu kuingia katika maovu yote, katikati ya mkutano na kusanyiko. Mith. 5:20-23, Mwanangu! Mbona unashangilia Malaya, na kukikumbatia kifua cha mgeni? Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele ya macho ya BWANA na mienendo yake yote huitafakari. Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake. Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake. Aliye washauri wanawe kuepukana na mtu mzinzi. Mith. 5:7-8, Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, wala msiache maneno ya kinywa changu. Itenge njia yako mbali naye, wala usiukaribie mlango wa nyumba yake. Mith. 7:24-27, Basi, wanangu, nisikilizeni sasa, mkayaangalie maneno ya kinywa changu. Moyo wako usizielekee njia zake, wala usipotee katika mapito yake. Maana amewaangusha wengi waliojeruhiwa, naam, jumla ya waliouawa naye ni jeshi kubwa. Nyumba yake ni njia ya kwenda kuzimu, hushuka mpaka nyumba ya mauti. Aliyemtia mwanaye moyo kupenda mke wa ujana wake. Mith. 5:20, Mwanangu mbona unashangilia Malaya, na kukikumbatia kifua cha mgeni? Mith. 5:18, Chemchemi yako ibarikiwe; nawe umfurahie mke wa ujana wako. Mhu. 9:9, Uishi kwa furaha pamoja na mke umpendaye, siku zote za maisha yako ya ubatili, ulizopewa chini ya ju; siku zote za ubatili wako, kwa maana huu ni sehemu yako ya maisha; na katika taabu zako ulizozitaabika chini ya jua. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 7

Jifunze kupitia Daudi. Ambae alifanya kosa mbaya na Bethsheba. 2 Sam. 11:3-5, Naye Daudi akapeleka akauliza habari za yule mwanamke. Mtu mmoja akasema, je! Huyu siye Bath sheba, binti Eliamu, mkewe Uria, Mhiti? Basi Daudi akapeleka wajumbe, akamtwaa; naye akaingia kwake; naye akalala naye; maana yule mwanamke amekwisha kutakasika unajisi wake; kisha akarudi nyumbani kwake. Yule mwanamke akachukua mamba; basi akapeleka na kumwambia Daudi akasema, ni mjamzito. Ambayo ilipelekea kifo cha Uria, na kifo cha motto. 2 Sam. 2:6-17, BWANA naye sasa awatendee ninyi fadhili na kweli, mimi nami nitawalipeni fadhili hiyo, kwa sababu mmetenda jambo hilo. Basi sasa mikono yenu na itiwe nguvu, nanyi iweni mashujaa; maana Sauli bwana wenu amekufa tena nyumba ya Yuda wamenitia mimi mafuta niwe mfalme juu yao. Basi Abneri, mwana wa Neri, amiri wa jeshi la Sauli, alikuwa amemtwaa Ishbosheth, mwana wa Sauli, na kumvusha na kumpeleka mahanaimu; akamweka awe mfalme juu ya Gileadi, na Waasheri, na Yezreeli, na Efraimu, na Benyamin, na juu ya Israeli wote. Huyo Ishbpshethi, mwana wa Sauli, umri wake ulikuwa amepata miaka arobaini alipoanza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka miwili. Lakini nyumba ya Yuda waliandamana na Daudi. Na wakati Daudi alipotawala Hebroni juu ya nyumba ya Yuda ulikuwa miaka saba na miezi sita. Basi Abneri mwana wa Neri, na watumishi wa Ishboshethi, mwana wa Sauli, wakatoka Mahanaimu kwenda Gibeoni. Huyo Yoabu naye mwana wa Seruya, na watumishi wa Daudi, wakatoka wakakutana nao karibu na ziwa la Gibeoni; wakaketi hawa upande huu wa ziwa, na hawa upande huu wa ziwa. Abneri akamwambia Yoabu, tafadhali vijana hawa na waondoke na kucheza mbele yetu. Yoabu akasema, haya na waondoke. Basi wakaondoka wakaenda upande wa pili kwa hesabu yao watu kumi na wawili wa Benyamini, na wa Ishbosheth, mwana wa Sauli na watu kumi na wawili wa watumishi wa Daudi. Wakakamatana, kila mtu akimshika mwenziwe kichwa chake, na kutia upanga wake katika ubavu wa mwenzake; wakaanguka pamoja hata mahali pale pakaitwa Helkath hasurimu, napo ni katika Gibeoni. Vita vile vilikuwa vikali sana siku ile; naye Abneri akashindwa na watu wa Israeli, mbele ya watumishi wa Daudi. 2 Sam. 12:9-19, Kwa nini umelidharau neno la BWANA na kufanya yaliyo mabaya machoni pake? Umempiga Uria, Mhiti kwa upanga, nawe umemtwaa mkewe awe mke wako, nawe umemuuwa huyo kwa upanga wa wana wa Amoni. Basi sasa Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 8

upanga hautaondoka nyumbani mwako, kwa sababu umenidharau, ukamtwaa mkewe Uria, Mhiti, kuwa mke wako. BWANA asema hivi, angalia nitakuondokeshea uovu katika nyumba yako, nami nitawatwaa wake zako mbele ya macho yako, na kumpa jirani yako, naye atalala na wake zako mbele ya jua hili. Maana wewe ulifanya jambo hili kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua. Daudi akamwambia Nathani, nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambi yako; hutakufa. Lakini, kwa kuwa kwa tendo hili umewapa adui za BWANA nafasi kubwa ya kukufuru, mtoto atakayezaliwa kwako hakika naye atakufa. Naye Nathani akaondoka kwenda nyumbani kwake. Basi BWANA akampiga yule mtoto ambaye mkewe Uria alimzalia Daudi naye akawa hawezi sana. Basi Daudi alimwomba Mungu kwa ajili ya mtoto, Daudi akafunga, akaingia akalala usiku kucha chini. Nao wazee wa nyumba yake wakaondoka, wakasimama karibu naye, ili wamwinue katika nchi; lakini hakukubali, wala hakula chakula pamoja nao. Lakini Daudi alikiri dhambi zake, na kutubu. 2 Sam. 12:13, Daudi akamwambia Nathani, nimemfanyia BWANA dhambi. Nathani akamwambia Daudi, BWANA naye ameiondoa dhambia yako; hutakufa. Zaburi 51:1-4, Ee Mungu unirehemu, sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu na dhambi yangu I mbele yangu daima. Nimekutenda dhambi wewe peke yako, na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, na kuwa safi utoapo hukumu. Hitimisho Kukimbia uzinzi na madhara yake mabaya Tunatakiwa kuwa na tabia ya Yusufu, na kutumia hekima ya Sulemani. Inapo kuwa muhimu, tunaitaji toba ya Daudi. Lazima tusichukue uzinzi kirahisi. Inaweza kuangamiza mwili wako, mji, na nafsi. Msamaha unawezekana, lakini madhara ya kimwili ya dhambi mara nyingi hubaki (magonjwa). Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 9

1 Kor. 6:11, Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu. Hivyo, ikimbie zinaa, na uache kufanya ngono, ambayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwako. 1 Wathes. 4:1-8, Iliyobaki ndugu tunakusihini na kuwaonya ya kwamba mwenende katika Bwana Yesu; kama mlivyopokea kwetu sisi iwapasavyo kuenenda na kumpenda Mungu, kama nanyi mnavyoenenda, vivyo hivyo mpate kuzidi sana. Kwa kuwa mnajua ni maagizo gain tuliyowapa kwa Bwana Yesu. Maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu, kutakaswa kwenu, muepukane na uasherati; kila mmoja wenu ajue kuuweza mwili wake katika utakatifu na heshima; si katika hali ya tama mbaya, kama mataifa wasiomjua Mungu. Mtu asimpunje ndugu yake wala kumkosa katika jambo hili; kwa kuwa Bwana ndiye alipizaye kisasi cha haya yote; kama tulivyowaambia kwanza tukashuhudia sana. Maana Mungu hakutuitia uchafu, bali tuwe katika utakaso. Basi yeye anayekataa, hakatai mwanadamu bali Mungu, anayewapa ninyi Roho wake Mtakatifu. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 10

Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 11

Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 12