Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka
|
|
- Brooke Simpson
- 6 years ago
- Views:
Transcription
1 Hennepin County Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka How to get rid of it guide
2 2 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA
3 Kiongozi cha jinsi ya kuondoa taka kinatoa mwongozo kijumla wa kuondoa taka kwa wakazi. Kiongozi hiki kinajumuisha habari kuhusu kufanya upya tena, kupunguza taka na kutumia tena, kufanya upya vikaboni, utupaji wa taka nyuma na utupaji wa taka ya yadi, taka yenye athari, dawa na shindano. Yaliyomo Kufanya upya...4 Upunguzaji na utumiaji wa kurudia...5 Kufanya upya vikaboni...6 Utupaji wa taka nyuma...7 Taka ya yadi...7 Taka yenye athari nyumbani...8 Kupunguza taka yenye athari...10 Utupaji dawa...11 Utupaji wa shindano na vitu vyenye makali...11 Mapipa ya kutupia taka...12 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA 3
4 Kufanya Upya Recycling Kufanya upya ni tendo rahisi unaloweza kutenda ili kusaidia jamii na kulinda mandhari. Kufanya upya kunatengeneza nafasi za kazi na hupunguza kiwango cha raslimali za kiasili zinazohitajika kutengeneza bidhaa mpya. Bidhaa unazoweza kufanya upya kwenye programu yako ya kufanyiza upya zinajumuisha Karatasi Makaratasi ya barua, afisi nay a shule Magazeti na katalogi Magazeti ya habari Vitabu vya simu Masanduku: tafadhali weka masanduku kuwa sawa Kadi Masanduku ya kuvunjia Masanduku ya viatu, ya zawadi, na ya kielektroniki Masanduku kutoka kwenye dawa ya meno, matibabu na vifaa vingine vya chooni. Katoni Katoni za maziwa na mafuta Masanduku ya vinywaji Katoni za mchuzi Glasi Chupa na jagi za chakula na vinywaji kama sosi za vyakula vyenye moto na za soy Chuma Vyombo vya chakula na vinywaji. Plastiki Chupa na jagi Chupa za maji, soda na vinywaji Jagi za maziwa na vinywaji Chupa za kuwekea Ketchup na saladi Chupa za sabuni ya kuoshea sahani na jagi za sabuni ya kufulia. Chupa za Shampoo, sabuni na loshoni Vikombe na vibuyu Vikombe vya maziwa ya Yogurt, matunda yaliyochanganywa na vya matunda Vikombe na sahani za kutupwa. Vibuyu vya Margarine, vya jibini (cottage cheese), na vingine Vibuyu vya kutengenezea, deli na vya kutolea nje Upakiaji Upakiaji wa wazi wa vyombo vya watoto kuchezea na elektroniki. Usitumie tena: Styrofoam, begi za plastiki, begi za mchele za plastiki, ufunikaji wa plastiki, trei za vyakula vinavyoweza kuwekwa kwenye microwave, sahani za karatasi, vikombe na taweli, glasi za kunywia, sahani, vyoo na mitungi iliyokuwa na bidhaa zenye athari. 4 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA
5 Upunguzaji na Utumiaji tena Reduce and reuse Punguza vitu unavyotumia kwa kutumia tena vitu ambavyo ulivyonavyo au kununua vitu ambavyo vimetumiwa tena. Tazama kwenye Jedwali la Wawasiliani wa Chaguo la Kutumia tena la Hennepin (Hennepin County s Choose to Reuse Directory) ili kupata nafasi za misaada na hifadhi za vitu vilivyotumika. Kwa habari zaidi, tembelea hennepin.us/ choosetoreuse au piga simu kwa Katika Kliniki za Hennepin County s Fix-It Clinics, unaweza kupata msaada wa mwongozo bila malipo wa kutengeneza vifaa vya nyumbani vilivyovunjika, nguo, elektroniki na zaidi. Kwa habari zaidi, tembelea hennepin.us/fixitclinic au piga simu kwa KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA 5
6 Kutumia tena vikaboni Organics recycling Karibu asilimia 30 ya taka tunayotupa ni vikaboni, ukijumuisha masalio ya chakula na bidhaa za chakula zilizofunikwa kwa karatasi. Katika programu za kutumia tena vikaboni, taka inabadilishwa katika taka ya thamani inayotumiwa katika kutengeneza shamba na katika miradi ya kujenga barabara. Majiji mengi katik jimbo huto huduma za kukusanya taka au kutoa machaguo ya sehemu za kutumia tena vikaboni. Vikaboni vinakubaliwa pia katika Sehemu ya kutupa ya Hennepin County Drop-off Facility katika Brooklyn Park. Ili kupata chaguo la kutumia tena vikaboni katika eneo lako, wasiliana na mratibu wa kutumia tena wa jiji lako au msimamizi wa taka au tembelea hennepin.us/organics. Vyakula vyote Matunda na mboga Nyama, samaki na mifupa Bidhaa za ng ombe Mayai na maganda ya mayai Pasta, maharagwe na mchele Njugu namaganda Vifaa vingine vya nyumbani vya kutupwa Kahawa na vichujio Ukatazi wa nywele na makucha Mipira ya pamba na makaratasi yaliyotiwa ulowevu Mimea ya nyumbani na maua Majani katika vikasha Vifaa vya mbao kama vijiti vya chop sticks, vya pop sicle na vichokonoa Makaratasi ya kufungia chakula Maboksi ya Pizza kutoka kwenye usambazaji Leso na taweli za makaratasi Madebe ya makaratasi ya kubebea mayai Karatasi la kufunikia chakula Bidhaa zilizoidhinishwa kutupwa Karatasi la kutupwa na vikombe vya plastiki, sahani, bakuli, vyombo vya jikoni na mitungi. Tafuta kuona BPI au logo za Cedar au neno za kutupwa kwa bidhaa zilizoidhinishwa. Visivyokubaliwa Uchafu wa yadi Bidhaa za sodo za watoto na z hedhi Uchafu wa wanyama, takataka au matandiko Vitambaa vya kumsafisha motto Mafuta Styrofoam Lindi na shuka za mashine ya kukausha Vitu vinavyoweza kufanywa upya (madebe ya makaratasi, vioo, chuma, karatasi, plastiki Maboksi ya vyakula vilivyo na baridi ya jokofu Begi za popcorn za microwave. Gamu Vifuniko vya vyakula vya haraka Bidhaa zilizo na lebo biodegradable 6 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA
7 Utupaji taka nyuma Backyard composting Baadhi ya vyakula na taka za yadi zinaweza kutupwa nyumbani katika pipa la taka nyuma. Utupaji taka nyuma unaweza kufanya utumiaji tena kwa taka za chakula na za yadi katika mbolea yenye virutubishi ambayo unaweza kutumia katika yadi au shamba lako Bidhaa zinazoweza kuongezewa kwenye pipa la mbolea yako ni: Masalio ya mboga na matunda Makato kutoka kwenye mimea Nyasi na matawi Ardhi ya kahawa na fila Majani chain a begi za majani chai Maganda ya mayai Maganda ya njugu Usiweke nyama, bidhaa za ng ombe, mafuta na bidhaa zinazoweza kutupwa katika mbolea yako ya nyuma kwa sababu mbolea hiyo haina joto la kutosha la kushughulikia bidhaa hizi. Jifunze zaidi kwenye hennepin.us/composting. Taka ya yadi Yard Waste Taka ya yadi, kama vile nyasi, majani na matawi ni raslimali za thamani zinazoweza kuongeza virutubishi katika yadi yako au kufanywa upya tena katika mbolea. Ni hatia kuweka taka kama hii katika mbolea ya nyumbani kwako. Machaguo ya kuthibiti taka ya yadi: Taka ya mbolea ya yadi na masalio ya chakula na matunda katika pipa la taka la mbolea ya nyuma Muulize msimamizi wako wa utumiaji tena iwapo wanafanya ukusanyaji wa taka ya yadi. Tupa taka yako ya yadi kwenye mbolea iliyo karibu nawe. Wacha nyasi kwenye lawn yako. Usiache majani kwenye barabara. Kusanya taka ya wanyama wa nyumbani. Pata orodha ya sehemu za kutupia taka ya yadi kwenye hennepin.us/yardwaste au piga simu KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA 7
8 Taka ya nyumbani yenye hatari Household hazardous waste Leta katika eneo la utupaji taka Baadhi ya bidhaa tulizonazo nyumbani zinajumuisha nyenzo zenye hatari ambazo zinaweza kuhatarisha afya yetu au mazingira iwapo hazitatupwa kisawasawa. Bidhaa za taka yenye hatari zifuatazo zinakubaliwa na hudma za Hennepin County Drop-off Facilities. Kunaweza kuwa na namna nyingine za kutupa taka kwa bidhaa nyingine. Taka yenye hatari inajumuisha: Bidhaa za Magari Zisizoganda kwa barafu Mafuta ya breki na ya paipu Kawi na mafuta Betari zenye asidi Bidhaa za nyumbani, lawn na za shambani Betari Bidhaa za kusafisha Kusafisha kwa kuondoa maji Taa za mwangaza Rangi, madoadoa na thinners Dawa za kuulia Thamostati na thamometa (zilizo na mercury) Bidhaa za kujilinda kibinafsi Marashi ya nywele Kiondoaji cha rangi ya makucha Perfume 8 KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA
9 Bidhaa za Elektroniki Kamera Kichezeshi santuri za DVD Tarakilishi* Mifumo ya michezo Mitambo ya uchapishaji Simu Runinga* Redio na vichezeshi mziki Spika Mashine* Mashine ya kuthibiti hewa Maikrowevu Oveni Jokofu Mashine ya kuosha na kukausha Mashine ya kuchemsha maji Magurudumu* Ada *Ada inatolewa kwa baadhi ya vitu, ukijumuisha: magurudumu ($3 kwa kila moja), runinga, vionyeshi vya tarakilishi na kipakatarakilishi ($10 kwa kila moja), mashine ($15 kwa kila moja) na godoro na masanduku ya sprin gi ($15 kwa kila moja, zinakubaliwa tu katika eneo la Brooklyn Park). KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA 9
10 Punguza taka yenye hatari Reduce hazardous waste Fanyika msomaji wa kibandiko Kusoma kibandiko kwenye bidhaa za nyumbani kunaweza kukufahamisha jinsi bidhaa hizo ni hatari. Angalia maneno ya ishara kwenye vibandiko na uchague bidhaa yenye madhara machache zaidi. Hatari ndogo Hatari kubwa Kuhifadhi salama Neno la ishara Tahadhari Onyo Hatari Sumu Kiwango cha hatari Hatari ya katikati Hatari ya katikati Za kulipuka au zenye toksiki nyingi Zenye toksiki ya juu Kuhifadhi bidhaa katika vyombo awali, kuhakikisha vifuniko zote na vikombe yamefungwa kukazwa. Kuwaweka nje ya kufikia ya watoto na wanyama. Namna za kutupa Tupa taka yenye hatari kila wakati kwa mwaka kwenye sehemu za kutupa taka za Hennepin County katika Brooklyn Park na Bloomington. Bidhaa nyingine zinalipishwa. Leta taka yako ya hatari kwenye tukio la kukusanya taka la kijamii. Tambua tukio lililokaribu nawe kwenye hennepin.us/collectionevents. Hifadhi nyingine za vifaa na wauzaji wa elektroniki hukubali taka Fulani yenye hatari, ikijumuisha elektroniki na matunguu ya mwangaza. Pata namna nyingine za kutupa taka ya nyumbani yenye hatari kwenye hennepin.us/greendisposalguide au piga simu KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA
11 Kutupa dawa Medicine disposal Dawa zisizohitajika au zisizotumika kutoka kwa wakazi zinafaa kuletwa kwenye sanduku la kutupia la Hennepin County kwa utupaji salama na unaofaa. Aina zote za dawa kutoka nyumbani, ukijumuisha dawa zilizoshauriwa na daktari, dawa za kununua dukani, vitamin, dawa za chakula na dawa za wanyama wa nyumbani zinakubaliwa. Pata habari zaidi na jinsi ya kutupa dawa kwenye hennepin.us/medicine. Kutupa shindano za nyumbani na vitu vyenye makali Household needles and sharps disposal Vitu vyenye makali vinajumuisha shindano za hypodermic, shindano za kalamu, shindano za kutibu, kalamu za epi zilizotumika, lanseti na shindano za hospitalini. Tumia njia zifuatazo kutupa shindano zilizotumika nyumbani. Usiweke chombo chenye shindano zilizotumika katika pipa la taka ya kutumiwa tena. Chunguza iwapo mtoaji wako wa huduma za kimatibabu ana mpango wa kukusanya shindano. Ziharibie nyumbani. Chunguza namna za vifaa na vyombo vilivyo na uwezo wa kujikunja, kuvunjika, kuchomwa au kuharibu shindano nyumbani. Mipango ya kutuma kwa barua. Stericycle, Inc., Sharps, Inc. na GRP Medical Services hutoa programu za kutuma shindano zilizotumika kwa barua. Huduma za Hennepin County Drop-off Facilities hukubali shindano zilizotumika nyumbani pekee. Weka shindano katika chombo cha plastiki thabiti kisichokuwa na panja na kilicho na kifuniko cha kufungwa kikiwa na lebo, Usitumie tena: Shindano za nyumbani. USITUMIE chombo chenye glasi. Pata habari zaidi kwenye hennepin.us/green-disposal-guide/items/needlessharps. KIONGOZI CHA JINSI YA KUONDOA TAKA 11
12 Sehemu za kutupia taka za jimbo la Hennepin County Brooklyn Park Kituo cha Brooklyn Park Transfer na Kituo cha Utumiaji tena Sehemu za huduma kamili na za kujihudumia 8100 Jefferson Highway Brooklyn Park, Bloomington Kituo cha South Hennepin Recycling na Kituo cha Problem Waste Drop-off Huduma kamili pekee 1400 W 96th St. Bloomington, Saa za kituo Jumanne, Alhamisi, Ijumaa asubuhi-6 jioni Jumatano...10 asubuhi-8 jioni Jumamosi...8 asubuhi-5 jioni Kimefunga mnamo jumapili, jumatatu na siku za holidei Kipo wazi kwa wakazi wa majimbo ya Hennepin, Anoka, Carver, Dakota, Ramsey and Washington Attention Atencion Ogow d-16 Swahili If you want help translating this information, call Si desea recibir asistencia gratuita para traducir esta información, llama Haddii aad dooneyso in lagaa kaalmeeyo tarjamadda macluumaadkani oo laceg la aan wac Ceeb toom Yog koj xav tau kev pab txhais cov xov no rau koj dawb, hu TDD/TTY Unachofaa kuleta: Ithibati ya kuwa mkaazi, kama vile leseni ya udereva au bili ya huduma Malipo, iwapo yapo pesa taslimu, hundi, au kadi ya hela Kwa habari zaidi ya kituo cha sasa nenda kwenye hennepin.us/ dropoffs au piga simu kwa Hennepin County Environment and Energy environment@hennepin.us
Walking Challenge Log Book
If you need this material in an alternative format please call Ahmed Muhumud at (612) 673-2162 or email Ahmed.Muhumud@minneapolismn.gov Deaf and hard-of-hearing persons may use a relay service to call
More informationCROP PROTECTION PROGRAMME. Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems
CROP PROTECTION PROGRAMME Identifying the factors causing outbreaks of armyworm as part of improved monitoring and forecasting systems R No 7966 (ZA No 0449) FINAL TECHNICAL REPORT 15 October 2000 31 March
More informationTHE SPINE CLINIC. Spine Care. Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo. principles of neck and back care IOM SYSTEM ENDOSCOPE
THE SPINE CLINIC IOM SYSTEM ENDOSCOPE Ideal Work Posture Spine Care BONE SCALPEL principles of neck and back care Huduma Ya Uti Wa Mgongo Kanuni Za Kutunza Shingo Na Mgongo For Appointments & Contact KWA
More informationEXL6 Swahili PhraseBook Davis
Swahili or Kiswahili, is an official language of Tanzania, Kenya, the Democratic Republic of the Congo, and Uganda. Swahili speakers can also be found in surrounding countries, such as Burundi, Rwanda,
More informationPROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS. Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way pit PROJECT AREA TANZANIA MAINLAND
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT S OFFICE REGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENT PROPOSED STANDARD COUNCIL LEVEL HOSPITALS Schedule of Material, Labour & Drawings for Septic and Soak way
More informationSIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET
SIMON & SCHUSTER S PIMSLEUR SWAHILI 1 READING BOOKLET Travelers should always check with their nation's State Department for current advisories on local conditions before traveling abroad. Booklet Design:
More informationLearning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:
Learning by Ear Unce upon a time... in Africa Episode 3: TRADE IN AFRICA Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS: Intro/Outro (female/male) Scene 1: June (13, female) Mum
More informationHISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA
HISTORIA (WASIFU WA) YA MAREHEMU DKT. WILLIAM AUGUSTAO MGIMWA (MB) ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA KATIKA SERIKALI YA AWAMU YA NNE YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 1. KUZALIWA Marehemu Dkt. William Augustao
More informationLearning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz
Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode One: CRADLE OF MANKIND Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS : Intro/Outro (female/male) Scene 1: Mum (38, female)
More information2017 Student Program Curriculum
2017 Student Program Curriculum Basic Program Information Host Institution: Program Title: Curriculum Title: Language(s): Grade(s) of Learners: Language Background: Program Setting: Program Type: Duration:
More informationJAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAMISEMI Namba za simu;shule ya Sekondari MIONO Mkuu wa Shule: +255 784 369 381S.L.P 26 - CHALINZE Makamu Mkuu wa Shule: +255 787 448 383Tarehe 25.5.2017
More informationCambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level
Cambridge International Examinations Cambridge Ordinary Level *6782314084* SWAHILI 3162/01 Paper 1 May/June 2016 Additional Materials: Answer Booklet/Paper READ THESE INSTRUCTIONS FIRST If you have been
More informationunajua ulichofanya; umevumilia Vema ninataka umwambia Shetani katika jina la Yesu anapokufanyia jambo baya, Toka! Toka!
Title: Preached by Dr. w eugene SCOTT, PhD., Stanford University At the Los Angeles University Cathedral Copyright 2007, Pastor Melissa Scott. - all rights reserved Somo: Imehubiriwa na Dk. w. eugene SCOTT,
More informationIkimbieni Zinaa. Ellis P. Forsman. Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1
Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 1 Ikimbieni Zinaa na Ellis P. Forsman Oktoba 11, 2011 Ikimbieni Zinaa (Flee Fornication) 2 Ikimbieni Zinaa 1 Kor. 6:18 Wakristo wa
More informationLearning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION. Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS:
Learning by Ear Once upon a time... in Africa Episode 8: COLONIALIZATION Author: Marta Barroso Editors: Maja Braun, Jan-Philipp Scholz CHARACTERS: Intro/Outro (female/male) Scene 1: Neighbour (43, male)
More informationUCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI
UCHANGANUZI WA MAKOSA YA KISARUFI KATIKA INSHA ZA WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI NA YANAVYOCHANGIA MATOKEO MABAYA YA MITIHANI, KATA YA GANZE, KAUNTI YA KILIFI, KENYA. ROSE SULUBU KITSAO Tasnifu imewasilishwa
More informationDEFERRED LIST ON 23/10/2018
DEFERRED LIST ON 23/10/2018 SN WP.NO Employer Applicant name Decision made 1 WPC 9595/16 M/S GA Insurance Tanzania ltd Mr. Amit Srivastava Awasilishe Job description, Mkataba wa ajira, kibali current kutoka
More informationTOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES
TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI CARLYLE B. HAYNES TOKA SABATO KWENDA JUMAPILI Mjadala wa kihistoria wa Hoja juu ya Sabato, Ukionyesha Jinsi Gani, Lini, Kwa Nini, na Ni Nani aliyefanya Badiliko hilo kutoka
More informationKWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;
UTANGULIZI KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU, AMIN. KWA VILE ni kanuni ya Kanisa Anglikana ulimwenguni ambalo ni sehemu ya Kanisa Katholiko kwamba Dayosisi kadhaa ziungane pamoja na kuunda Jimbo;
More informationKUFANIKISHA MAGEUZI YA SHERIA ZA KUMILIKI ARDHI NCHINI KENYA TOLEO MAARUFU LA MSWADA WA KUMILIKI ARDHI YA JAMII
Hakijamii Hakijamii Economic and Social Rights Centre (Hakijamii) 53 Park Building, kwenye barabara ya Ring Rd, tawi la Ngong Rd Sanduku la Posta 11356-00100, Nairobi Kenya Simu: +254 020 2589054/2593141
More informationUCHAMBUZI MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977
UCHAMBUZI WA Katiba Katiba YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 Uchambuzi huu umetayarishwa na Kikundi cha Sheria na Haki za Binadamu cha TIFPA kwa niaba ya wana TIFPA kwa msaada wa Ford Foundation
More informationNi Nani Aliye Upande Wa Bwana?
Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord s Side?) Na Ellis P. Forsman Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord's Side?) 1 Ni Nani Aliye Upande Wa Bwana? (Who Is On The Lord s Side?)
More informationLesson 60: Quantifiers OTE and O OTE
Lesson 60: s OTE and O OTE OTE [all, entire, whole] The usage of OTE varies from one noun class to another. A). OTE GELI [noun class] WA KI VI I JI A K K JIA [noun] msichana wasichana kijiko vijiko mkoba
More informationTaarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM (Oktoba, 2010 hadi Septemba, 2012) kuhusu Zanzibar SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi TAARIFA YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUHUSU UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
More informationHOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME
SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR OFISI YA RAIS NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS IKULU NA UTAWALA BORA MHESHIMIWA DKT. MWINYIHAJI MAKAME KUHUSU MAKADIRIO YA
More informationPasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2
Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2 Na Ellis P. Forsman Lord's Supper - Part 2) 1 Pasaka Na Meza Ya Bwana Sehemu Ya 2 Na Ellis P. Forsman Marchi 11, 2013 Lord's Supper - Part 2) 2 Pasaka Na Meza Ya Bwana
More informationThe history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian
1 sur 37 05.02.2006 0:36 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 5 (5 October 1999) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,
More informationNOVENA YA ROHO MTAKATIFU
NOVENA YA ROHO MTAKATIFU Mpangilio wa sala na nyimbo kwa siku zote tisa Katoliki.ackyshine.com KWA SIKU ZOTE TISA Ufuatao ni mtiririko wa Novena ya Roho Mtakatifu kwa siku zote tisa. Kusali novena hii
More informationRemarks You Must Read & Know Before Buying Guingamp vs RC Strasbourg Tickets: Event date and time are subject to change - these changes are not
{@!!!Video} Mbeya City - Mtibwa Sugar Tazama kutangaza 14.01.2019 Liga Huru HDTV Kuishi. Inasaidia, Mbeya City - Mtibwa Sugar ESPN Angalia.. Online Tangaza Kuishi.. Streaming Sopcast Online. Kuishi WATCH
More informationThe history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian
1 sur 55 05.02.2006 0:38 ISSN: 1570-0178 Volume 2, Issue 7 (6 June 2000) The history of Zaire as told and painted by Tshibumba Kanda Matulu in conversation with Johannes Fabian Introduction First Session,
More informationThe Passion of Africa
Africa is the heart of the world an empire of space, sounds, light, life, people, cultures, magnificence not found elsewhere in the world, Africa is magical, it captivates you with is sights, sounds, scents
More informationJuly 2018 METROPOLITAN COUNCIL S REGIONAL PARKS SYSTEM ANNUAL USE ESTIMATE: APPENDIX TABLES
July 08 METROPOLITAN COUNCIL S REGIONAL PARKS SYSTEM ANNUAL USE ESTIMATE: APPENDIX TABLES The Council s mission is to foster efficient and economic growth for a prosperous metropolitan region Metropolitan
More informationCOPAY RATES. Health Insurance for Individuals & Families Monthly Rate Guide. PreferredOne.com
COPAY RATES Health Insurance for Individuals & Families 2014 Monthly Rate Guide PreferredOne.com Monthly Rate Guide Follow these simple steps to find the correct rate table and calculate your 2014 Monthly
More informationInformation Item. Transit and TDM Projects. Range of 22%-32% of Funds. Range of $31.58-$45.94 M
Transportation Advisory Board of the Metropolitan Council of the Twin Cities DATE: April 9, 2015 Information Item TO: Transportation Advisory Board PREPARED BY: Steve Peterson, Planning Analyst 651-602-1819)
More informationMinnesota Law Enforcement Explorer Association
Practical Events Arrest and Search Presented by St. Paul Police Department 1st. Washington County Sheriff Team A 2nd. Dakota County Sheriff Team A 3rd. Brooklyn Park Police Team A 4th. Edina/Eden Prairie
More informationCholesterol (mg) Sodium (mg) Total Fat (g)
CANNED FRUITS applesauce.50 cup 86.29 0.2 0 7.4 21.13 1.66 15.97 0 sliced apples 10 pieces 42.74 0.24 0 0 9.9 2.39 7.28 0.25 peach halves.50 cup 68.04 0.04 0 6.3 18.4 1.64 16.76 0.57 peach diced.50 cup
More informationDIY WORM BIN.
DIY WORM BIN Materials * Gallon Plastic Tote (size depends on number of people in household) * Old screen * Soil (can be from the garden, should be good quality) * Dry leaves, crunched up * Hot Glue Gun
More informationACTION TRANSMITTAL No
Transportation Advisory Board of the Metropolitan Council of the Twin Cities DATE: January 5, 2017 TO: FROM: ACTION TRANSMITTAL No. 2017-04 Transportation Advisory Board TAC Funding & Programming Committee
More informationMinnesota s Managed Muskellunge Waters
Minnesota s Managed Muskellunge Waters March 06 How many bodies of water does DNR manage for Muskellunge? The MNDNR manages about 4,85 lakes and rivers, or waters, (excluding Lake Superior) for fishing
More informationRecipe Allergen Report
Recipe Allergen Report Menu: Elementary Lunch Menu 2017-2018 Cycle School: Alderwood Elementary School Dates: August 01, 2017 - September 29, 2017 Recipe Number Recipe Name Eggs Fish Milk Peanuts Shellfish
More informationCERTIFICATE. for Products
CERTIFICATE for Products THIS IS TO CERTIFY that the following PRODUCTS have been found to comply with the specifications established in the American Society for Testing and Materials standard ASTM D6400
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html April was
More informationReport. a. Over sixty (60) years of age b. Residing as head of household c. Single Family residence only Note: proof of items a-c is required
City of Highland Weekly Report May 4, 2017 The Redlands Bicycle Classic is the longest continuous running invitational, professional stage race in American bike Volunteer Services racing. Each year, the
More informationInkling Fan Language Character Encoding Version 0.3
Inkling Fan Language Character Encoding Version 0.3 What follows is a proposed encoding for the characters in the Inkling fan language for standardization among font creators. This encoding would make
More informationACTION TRANSMITTAL No
Transportation Advisory Board of the Metropolitan Council of the Twin Cities ACTION TRANSMITTAL No. 2014-63 DATE: September 5, 2014 TO: Funding & Programming Committee PREPARED BY: Joe Barbeau, Senior
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html Precipitation
More informationAppendix 1. c e c O. n t i A t l a. a n. e a. i f i c. P a c. O c
New England a n c e c O n t i Pacific Northwest Souris-Red- Rainy Great Lakes Missouri Great Basin Upper Upper Colorado California Ohio Arkansas-White-Red Lower Colorado Rio Grande Lower Tennessee South
More informationACTION TRANSMITTAL No
Transportation Advisory Board of the Metropolitan Council of the Twin Cities DATE: January 5, 2017 TO: FROM: PREPARED BY: SUBJECT: REQUESTED ACTION: RECOMMENDED MOTION: ACTION TRANSMITTAL No. 2017-02 Transportation
More informationNEWS ENGLISH LESSONS.com
NEWS ENGLISH LESSONS.com Man crosses Pacific in 12,500-bottle boat MANY FLASH AND ONLINE ACTIVITIES FOR THIS LESSON, PLUS A LISTENING, AT: http://www.newsenglishlessons.com/1007/100727-plastic_waste.html
More informationBMR 2018 Mock Bonus Listing
BMR 2018 Mock Bonus Listing The primary purpose of this optional exercise is to learn, test, understand and PRACTICE submitting bonus pictures to the BMR website. We continually learn that those who take
More informationBiosafety Level 2 (BSL2) Laboratory Safety Inspection Checklist
Conducted By: Date of Inspection: Location: Safety and Risk Management Office Biosafety Level 2 (BSL2) Laboratory Safety Inspection Checklist Principal Investigator/Supervisor: General Lab Housekeeping
More informationWorld Centric - Catalog 2011 Effective - September 1, 2011 FOB - San Leandro, CA / Edison, NJ Minimum Order - $
2121 Staunton Ct. Palo Alto, CA 94306 Tel: 650-283-3798 I Fax: 866-850-9732 World Centric - Catalog 2011 Effective - September 1, 2011 FOB - San Leandro, CA / Edison, NJ Minimum Order - $1000.00 is to
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Hydrologic Conditions Report This is the first installment of the monthly Hydrologic Conditions Report for 2010. This report is a product from the
More informationFood & Beverage Booth Information and Application
Food & Beverage Booth Information and Application The mission of the Skagit River Salmon Festival is to celebrate our amazing Skagit River and its vast resources while inspiring community conservation.
More informationMathematics MAT1L Unit 2 Lesson 6
Expenses Lesson 6 Mathematics MAT1L Unit 2 Lesson 6 Lesson Six Concepts Write money values, using correct units. Use estimation strategies involving addition and multiplication. Enter decimal numbers correctly
More informationASU Homecoming Parade 2012
ASU Homecoming Parade 2012 Parade Manual This manual was created by the Arizona State University Programming and Activities Board to provide homecoming parade participants with the information needed to
More informationLaboratory Safety Inspection Checklist
Conducted By: Date of Inspection: Location: Safety and Risk Management Office Laboratory Safety Inspection Checklist Principal Investigator/Supervisor: General Lab Housekeeping A M S NO NA Comments Laboratory
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Hydrologic Conditions Report Summary This is the third installment of the monthly Hydrologic Conditions Report. For comparative purposes please reference
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html seemed like
More information50 by 30 Live, Learn, Earn
50 by 30 Live, Learn, Earn SCALE Meeting Workforce Readiness October 13, 2017 Workforce Readiness Update Key Data Points Next Steps Employer Panel Workforce Readiness Vision Elevate each person s contribution
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: https://www.dnr.state.mn.us/current_conditions/hydro_conditions.html
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html Minnesota
More informationSo we re seeking sponsorship from local businesses - to help fund the purchase of backyard traps and help makes this vision a reality.
"If we get everyone believing in this... we've got a real chance of achieving a Predator Free New Zealand by 2050." - Next Foundation Chairman Chris Liddell WHO ARE WE? Predator Free Miramar is a volunteer,
More informationWhat is Going on with Complete Streets
What is Going on with Complete Streets DFP Design Committee AD HOC Committee MWCOG Introduction to Complete Streets Multiple Presentations Blended Together Materials and Data Sources Our Next Steps Your
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: https://www.dnr.state.mn.us/current_conditions/hydro_conditions.html
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html The preliminary
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html Precipitation
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: https://www.dnr.state.mn.us/current_conditions/hydro_conditions.html
More information8 th Annual. Can t make it but want to help? Donate to our Winter Fund/Food Drive here:
8 th Annual GROCERY CART RACES Tuesday, March 27, 2018 Check in at 6pm Racing begins at 7 pm Safeway, 1677 S Havana Street, Aurora CO 80014 Benefiting Comitis Crisis Center and Colfax Community Network
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report This is the first installment of the monthly Hydrologic Conditions Report for 2011. For
More information#1.With the use of examples, describe the difference between biodegradable and non-biodegradable substances.
EXERCISE #6 LESSON SIX - ANSWERS #1.With the use of examples, describe the difference between biodegradable and non-biodegradable substances. Biodegradable substances such as dead plants, dead animals,
More informationClass 02A Modern Stylish Wedding Cake Display: Individual
Class 01 Dress the Cake - Theme "Future" Live Show: Individual 1 C1/J04 Sann Lin Htun 72 BRONZE MEDAL 2 C1/J03 KyawSwar Lin 63.6 Diploma 3 C1/J05 Thin Thin Chan MyaeHtoo 63 Diploma 4 C1/J01 Hein Htet Aung
More informationHydrologic Conditions Report
Minnesota Department of Natural Resources Division of Ecological and Water Resources Hydrologic Conditions Report Previous reports at: http://mndnr.gov/current_conditions/hydro_conditions.html was another
More informationBachelor of Paramedic Science
Bachelor of Paramedic Science Practical Workshop Safety Induction Paramedic Teaching Suite and Paramedic Shed Evacuation Evacuation procedures - displayed in the corridors of Paramedic Teaching Suite.
More informationMSDS Ecopro Silicate Masonry Paint 1-170
1 Section Chemical Product and Company Identification Name: Product Group : Product Code : Company Identification : Silicate Masonry Paint Surface treatment outside E86xxx Earthborn Frodsham Business Centre
More informationDMS November Newsletter
DMS November Newsletter Welcome to the very busy month of November. This month we say goodbye to first quarter and ring in 2nd quarter. Also, we look forward to honoring our Veteran's this month at our
More informationANGEL KISSES IN LEFT FIELD By Claudia Haas
ANGEL KISSES IN LEFT FIELD By Claudia Haas Copyright 2011 by Claudia Haas, All rights reserved. ISBN 1-60003-625-2 CAUTION: Professionals and amateurs are hereby warned that this Work is subject to a royalty.
More informationREPAIR REUSE REPAIR W A T E R F O R D
REPAIR REUSE REPAIR WATERFORD Waterford s Repair Directory Waterford City & County Council, as part of the Southern Waste Management Plan, is endeavouring to encourage people to reduce consumer consumption
More informationArterial Transitway Corridors Study. Sept. 26, 2011
Arterial Transitway Corridors Study Sept. 26, 2011 Purpose of Study Study 11 urban corridors in Minneapolis, St. Paul and surrounding communities Develop service and facilities plan to improve Transit
More information2018 USTA Northern League Regulations Updated
2018 USTA Northern League Regulations Updated 9.20.2017 Section Regulations are in green. Twin Cities Regulations are in purple. Changes are in red. 1.02B. USTA Northern: The USTA Northern Section Regulations
More informationMARINE ENVIRONMENTAL EDUCATION DRAFT MANUAL FOR SCHOOLS AROUND WATAMU MARINE NATIONAL PARK AND RESERVE
MARINE ENVIRONMENTAL EDUCATION DRAFT MANUAL FOR SCHOOLS AROUND WATAMU MARINE NATIONAL PARK AND RESERVE A Rocha Kenya, Local Ocean Trust: Watamu Turtle Watch and Africa Billfish Foundation 2016 PAGE 0 Acknowledgement
More informationLunch Nutrition Information Middle Schools
Table Legend Kcal = lories Chol = Cholesterol = Total = Vitamin C Fat = Total Fat = Sodium = tein = lcium = Saturated Fat = ohydrates = Vitamin A = Iron The information contained in this list is reported
More informationAppendix B Warrants, Standards, and Guidelines for Traffic Control Devices used at Senior Citizen and Disabled Person Crossings
Appendix B Warrants, Standards, and Guidelines for Traffic Control Devices used at Senior Citizen and Disabled Person Crossings B.1 General Minnesota Statute 169.215 and Highway Traffic Regulation 169.222
More informationCurrents. Newsletter of the Crow River Organization of Water. Looking Back. Communities Participating in the Crow River Clean Up Day.
Currents Newsletter of the Crow River Organization of Water Crow River Clean Up Day Crow River Clean Up Day September 18, 2010 The Crow River Clean Up Day has evolved and grown over the past few years.
More informationGait Training with Crutches (WBAT)
Patient Education ABOUT YOUR THERAPY Put weight on your affected leg, as you can tolerate. Gait Training with Crutches (WBAT) Walking with a Device The following program has been designed to help you learn
More informationMN 5 Corridor Performance. Current Corridor Characteristics Highway: MN AADT: 2,400 73,000
Corridor Context The corridor runs from Norwood Young America to the connection with US 212 in Eden Prairie. The corridor serves the communities of Chanhassen, Eden Prairie, Norwood Young America, Victoria,
More informationBaby Foods Babyfood, yogurt, whole milk, with fruit, multigrain ce 5 very good effect Babyfood, green beans, dices, toddler 1 good effect
Baby Foods 03956 Babyfood, yogurt, whole milk, with fruit, multigrain ce 5 very good effect 03093 Babyfood, green beans, dices, toddler 1 good effect 03010 Babyfood, meat, lamb, strained 1 OK effect 03092
More informationDispersed Renewable Generation Transmission Study
Dispersed Renewable Generation Transmission Study Volume II Docket Number E999/DI-08-649 Prepared for: Minnesota Department of Commerce Office of Energy Security Prepared by: The Minnesota Transmission
More information2018 Excellence Award Entry
2018 Excellence Award Entry Communication, Education, Marketing Tool Niagara Region - Recycle your Bicycle Ashley Northcotte, Engagement & Education Coordinator ashley.northcotte@niagararegion.ca (905)
More informationMenu for Week of : July 30th 2018
Menu for Week of : July 30th 2018 BREAKFAST: Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 6oz Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 8oz Rice Crispy 3/4C 3/4C 1 1/4C Bagel mini 1 1 2 Corn Flakes 1/2C 1/2C 1C
More informationRecycling, Garbage & Yard Waste. Collection Calendar
, & Calendar A A April Spring Hours begin April is Rose City s Spring Clean Month. Compost On Sale NOW! Monday April, at Register by calling or EWSWA s Garden Gold compost is available the Public email
More informationMenu for Week of : December 3rd 2018
Menu for Week of : December 3rd 2018 BREAKFAST: Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 6oz Milk 4oz 6oz 8oz Milk 4oz 6oz 8oz Bagel Cheerios 1/2C 1/2C 1C Apple Slices 1/4C 1/2C 1/2C Corn Flakes
More information1. THURSDAY MAY 11. SEMINAR FOR BLACK & BROWN BELTS Total time: 3 hours
GASSUKU JKA PANAMA 11, 12, 13 & 14 MAY 2017 SENSEI KOICHIRO OKUMA JKA HQ Invited by Sensei ARTURO WORRELL JKA PANAMA Translator: Sensei RAYMUNDO RICHARDS JKA Place: ACP Fitness Center 1. THURSDAY MAY 11.
More informationVehicle Miles of Travel Trends in Minnesota:
Vehicle Miles of Travel Trends in Minnesota: 1992 2011 Minnesota Department of Transportation Office of Transportation Data and Analysis October 2012 Vehicle Miles of Travel Trends in Minnesota: 1992 2011
More informationPLA Recovery & Recycling - a pilot project at University of Wisconsin - Stevens Point. Paul Fowler Biopolymers Symposium October 17 th, 2012
PLA Recovery & Recycling - a pilot project at University of Wisconsin - Stevens Point Paul Fowler Biopolymers Symposium October 17 th, 2012 FRESH project overview Focused Research Effort for Sustainable
More informationThe Bradford Place Bulletin
The Bradford Place Bulletin Spring / Summer 2009 CALENDAR Bradford Place Spring Picnic May 3 Mother s Day May 10 BP Garage Sale May 14-16 Armed Forces Day May 16 Blue Valley North Graduation May 17 Memorial
More informationMedicinal Equipment and Supplies Zero rate VAT relief guidance
Medicinal Equipment and Supplies Zero rate VAT relief guidance For help/advice on VAT please email a.marshall@worc.ac.uk There are certain instances where medical equipment and supplies can be zero-rated
More informationDecember Inside this issue: A joint publication of Big Meadows and Pinnacle Place
1000 Longmoor Ave. Savanna, IL 61074 Phone: 815.273.2238 Website: www.bigmeadows.biz December 2015 Pinnacle Place 1125 N. 5th Street Savanna, IL 61074 Phone: 815.273.2105 Website: www.aheinc.biz/pinnacleplace
More informationDynamic Decomposers. Grades 3-5
Dynamic Decomposers Grades 3-5 Brought to you by Decomposers aren t usually the most featured part of a food web but they connect the food chain and keep the nutrient and energy cycle flowing. Dynamic
More information2013 Annual Foreclosures in Minnesota:
Annual Foreclosures in Minnesota: A Report Based on County Sheriff s Sale Data February 7, 2014 Published by: Prepared by: 275 Market Street Suite 509 Telephone: (612) 522-2500 Facsimile: (612) 521-1577
More information